Naacha infidelity

Naacha infidelity

  • Thread starter Thread starter RR
  • Start date Start date
Hahaaa hii itakuwa under my terms and conditions. First of all i am going to change my identity and will pounce on you without you knowing you are dealing with Caren. You will know it when i report the outcome here. So if i make the decision i will go into the game. The good thing thanks to some outspoken JF members i have a pretty good idea of where to find you and tempt u!!

Ukizingatia infii mzoefu haogopi vitisho....:A S-heart-2::A S 8::A S-heart-2::A S 8:
 
hata mimi nimeliona hili. katibu anatafuta new members kwa style yake. na hivi yeye ndo katibu, huko faragha alikoomba atakuwa akitoa kadi ya uanachama kila baada ya meeting.
Good strategy!

FP bana...hayo maneno umeniwekea mdomoni....(ukishtuka si unyamaze??😡😡)
 
hata mimi nimeliona hili. katibu anatafuta new members kwa style yake. na hivi yeye ndo katibu, huko faragha alikoomba atakuwa akitoa kadi ya uanachama kila baada ya meeting.
Good strategy!

Katibu huyu FP vipi, nimpe risiti? Najua utakuwa ushachukua ada yake.
 
Mi nimeuliza swali!! Inaruhusiwa kwa mwanaJF kumtafuna mwanaJF mwenzake? if yes naweza fikiria kutoka katika kustaafu kwa ajili ya kukutempt urudi kwenye chama chako. Na wewe utapaswa kuonyesha nia ya kweli ya kuacha kutamani na kumcha BWANA. (Mind you, you will not get me to bed you but at least nitafanikiwa kukuleta kwa kitanda, nitakuchojoa na kukuacha solemba kama nilivyokuwa nafanya zamani enzi zangu za kuwa katika game).

Caren naona 2010 uko kikazi zaidi plus Avatar :A S 13:
 
FP bana...hayo maneno umeniwekea mdomoni....(ukishtuka si unyamaze??😡😡)

Mi nilikuwa najitahidi kuwaza tu, ulikuwa na maana gani kuomba faragha na wadada tu? tena wa upande wa pili? si ni kutaka kuwaingiza kwenye chama?
 
hapa mi mgeni wajameni!!!!!!nianzie wapi??????
 
Asprin mimi sina chama, na ninapenda nibaki hivi................... kuna raha yake kuwa observer.

Unaonaje tukaunganisha uhusiano wa avatar zetu? I'm in love with your avatar, if you understand what I mean!😛reggers:
 
hapa mi mgeni wajameni!!!!!!nianzie wapi??????

Mmh huku ukija na ni mdada lazima uwe mkakamavu au la sivyo utakuwa infilitrated. Kama ni mkaka you just hang around na utaelekezwa nini cha kufanya.
 
Unaonaje tukaunganisha uhusiano wa avatar zetu? I'm in love with your avatar, if you understand what I mean!😛reggers:

Yaani hiyo avatar yako itanifanya nikimbie post zako.
I will not understand what u mean until u change ur avatar
 
Yaani hiyo avatar yako itanifanya nikimbie post zako.
I will not understand what u mean until u change ur avatar

In that case...Let me do the needful......Make someone laugh and you've got a friend...........:lol::lol: And not otherwise!
 
nidai zawad pleeeeeese!!!!!!!!!!!!!
guuuud boy.....!!!!!!!!!!
You are rewarded............please contact me for instruction.
Remember, you can have me today and tomorrow only!!
 
In that case...Let me do the needful......Make someone laugh and you've got a friend...........:lol::lol: And not otherwise!

Thanx. Now I can understand what you mean.....................
 
Asprin ndo nini kuweka liavatar libaya hivyo umeharibu weekend yangu

Kuna mtu nilikuwa nataka nimharibie mimba yake. Ishatoka, nimerudi kanisanii tayari. Twendelee na maombi!
 
Back
Top Bottom