Naacha Pombe kuanzia leo

Naacha Pombe kuanzia leo

Kweli hata me nikiamua zangu nijipumzikie nisinywe nakaa kwa mda sinywi na sitamani ngoja sasa uanze kuwatangazia wananzengo hata mwezi hauishi koo linawasha

Ila beer tamu jamani
[emoji16][emoji16][emoji16]

Kama mimi kabisa
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Mkuu ni hz shida tu nijuavyo siku ukizikamata tena ni mwendo wa "lete bucket"....
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
usisahau kuleta mrejesho
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Kumbe ulikua unakunywa pombe (safari lager) ndo maana umeamua kuacha KONGOLE KWAKO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa jaribu kunywa beer (Serengeti Lite) hutothubutu kuacha mkuu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Hongera mkuuu tangu TAREHE 21/June/2021 sijapiga Serengeti lite.. nashukuru Mungu nisizirudie..... Nimepunguza marafiki hasa wale WASIO NA LA KUPOTEZA
Pombe zunarudisha nyuma Maendeleo
KIMWILI
KIROHO
KIAKILI
 
sababu nyingi sana
kurudi home asubuhi
matumizi makubwa ya pesa
Hizi sababu hazina mshiko.Ila nakutakia kila la heri.Mimi niko mbioni kupunguza niwe nakunya lita 5 kwa siku tu si zaidi.au ni cc150 za alcohol kwa siku.
 
Back
Top Bottom