Naacha Pombe kuanzia leo

Naacha Pombe kuanzia leo

Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
safari ni bonge la bia
 
Kuacha pombe ni mpaka likukute la kukukuta...ndio utaacha..{tutaacha}.
 
Huwa nafikiria kuacha ila nawaza nani wa kumwachia? Maana mm huwa natii sheria zote za unywaji pombe ikiwa ni pamoja na kutokuwa na deni la zaidi ya laki 5 kwenye bar na grocery zote nazokunywa
 
Back
Top Bottom