Naacha Pombe kuanzia leo

Naacha Pombe kuanzia leo

Kama ulivyoamua kuanza na kuacha unaweza,watu wameacha uchawi ulio na muunganiko hadi kwenye roho sembuse pombe mkuu.
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Ni uamuzi mzuri kama utaushikilia japo ulipoanza kunywa hukutwambia. Kila la heri mwanangu mlevi msataafu kkkkkkkkkk
 
Huu ushakuwa wimbo wa taifa kwa walevi na wanywaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom