Naacha Pombe kuanzia leo

Naacha Pombe kuanzia leo

Hii kauli hakuna mnywaji ambae hajawahi kuitoa akiwa na mning'inio. Huwa ni kauli ya asubuhi pale unapoona maisha magumu hayana maana ila subiri hangover itoke mchana au jioni kama mwenyewe hujasema ngoja nipate kamoja aisee
Nawe unakunywa d?
 
ukiamua kuacha inawezekana. mimi nilikuwa natumia zaid ya 120k kila weekend afu mda wa kodi naenda kubembeleza landlord. Yaan pombe sio poa ukitaka tu kunywa unapata pesa.
 
Siku moja nimelala mbwiiiiiiiiiiii.....

Cha ajabu nilikuwa nakemea moyoni
Na kuimba tenzi za rohoni. Aseee kufika chumbani kinakimbia kama niko kwenye treni. Nikaone tenzi za rohoni haitoshi nikaanza kuimba nyimbo za sifa.

Nilichokuwa nawaza siku zikiisha sitarudia teeeena na niliyoibeba nikalitupa uvunguni.

Nikabahatisha kausingizi kesho yake niliamka kichwani kama vibanda sido kwa kelele zile

Baadae nikanywa maji tuu vizuriii na kulazimisha msosi .

Ilivyofika jioni nikasema ninyooshe miguu hapo likawa kosa nilijikuta nishalewa tena na bodaboda ndio wakanibeba.

Kuanzia hapo sitarudia tena kusema ujinga ujinga
 
H
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
HONGERA KWA MAAMUZI HAYO
 
Siku uliyotangaza kuacha bia anatokea mpuuzi anakwambia njoo BIA BIANI unywe BAR.

Kuacha bia na noah sio mchezo wa kitoto
FB_IMG_1463901201187.jpg
images (1).jpg
 
August 25 nilitangaza kuacha pombe, nimedumu na uamuzi huo Hadi tarehe 04 Sept
Siku ya tukio tarehe 4 Sept, ilikuwa ni jumamosi flan hivi nimeboreka kinoma nikasema ngoja niende hiyo sehemu wanakuwaga na misosi mizuri, piga supu piga kitimoto nikaagiza soda, nikahamia kwenye pool table, mida ya kama saa Tano usiku hivi baada, ya kuwafunga wana kibao, nikasema liwalo na liwe, nilianza kupiga monde mpaka asubuhi.
Kesho yake ilikuwa siku ngumu sana
Nashukuru mungu tokea hiyo tarehe 04 Hadi leo tarehe 19 sijanywa boa au kilevi chochote
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
bado umeacha au ndo unarudi kidogo kidogo
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Hapo kwenye... NISIE KIASI .. ndo pa kurekebisha
 
Back
Top Bottom