August 25 nilitangaza kuacha pombe, nimedumu na uamuzi huo Hadi tarehe 04 Sept
Siku ya tukio tarehe 4 Sept, ilikuwa ni jumamosi flan hivi nimeboreka kinoma nikasema ngoja niende hiyo sehemu wanakuwaga na misosi mizuri, piga supu piga kitimoto nikaagiza soda, nikahamia kwenye pool table, mida ya kama saa Tano usiku hivi baada, ya kuwafunga wana kibao, nikasema liwalo na liwe, nilianza kupiga monde mpaka asubuhi.
Kesho yake ilikuwa siku ngumu sana
Nashukuru mungu tokea hiyo tarehe 04 Hadi leo tarehe 19 sijanywa boa au kilevi chochote