Naacha pombe rasmi

Naacha pombe rasmi

Haya kajifunze kufuma vitambaa ili ifikika Jioni uwe unakaa na mama watoto nyumbani
Hapo ndio unaona umewazaaa mpaka mwisho.... Ninavitu vingi sana vya kufanya ..nacheza draft yote french British , nacheza bao hasa la kiswahili, nacheza soka ,nacheza kikapu .... Kamsaidie dada Ako huko kukata vitunguu naona umeshindwa kukaka kwenye kikome na wazee.
 
Bahati mbaya Sina namna ya kukuhakikishia kuwa nimeacha ... Pombe niliyokunywa ni nyingi sana nikikuwekea hapo unaweza maliza miaka 10 na usizimalize....Wapo waliopinga na ninakaa nao vilingini na sinywi...ila round nawazungushia fresh tu nikiwa fresh....kifupi Kuna dozi Moja ya IONOX ya ngozi nilimtumia siku 14 sinywi pombe nimeenda nimeongezewa dozi Tena ... Nimemaliza juzi ..hivyo nimekaa mwezi naenda wa pili ... Sioni Cha ajabu ...miwili umetulia na akili imetulia ....ya Nini kurudia Tena pombe.
Great, all the best. Nipo nakandamiza bia home
 
Hapo ndio unaona umewazaaa mpaka mwisho.... Ninavitu vingi sana vya kufanya ..nacheza draft yote french British , nacheza bao hasa la kiswahili, nacheza soka ,nacheza kikapu .... Kamsaidie dada Ako huko kukata vitunguu naona umeshindwa kukaka kwenye kikome na wazee.
Wenzako tupo busy na Kung Fu na karate wewe unajisifia kucheza draft na bao.
Wewe hujaacha pombe umepumzika tu au umeshalewa hapo mkuu
 
Wenzako tupo busy na Kung Fu na karate wewe unajisifia kucheza draft na bao.
Wewe hujaacha pombe umepumzika tu au umeshalewa hapo mkuu
Eti Kung Fu na karate michezo common mnafundishana hata kwenye mapagala....nimecheza Shorinji sijui hata kama unaujua......
 
Ada, kodi, sikukuu lazma pombe uipige kikono....subiria march ndo utaiacha serious.
Suala hapa ni mtoto aje na ada.
GCRfinFWAAA3ZV4.jpeg
 
Back
Top Bottom