Naacha pombe rasmi

Naacha pombe rasmi

Na ikawe hivyo in the name of Jesus
downloadfile.jpg
 
Pia kubaliana kuwapoteza marafiki zako ambao pengine wakati kupata moja baridi moja moto mipango ya pesa ilikuwa ikisukwa
 
kuna hatua tatu muhimu sana kuacha hiyo kitu,

kwanza unapunguza, pili unapumzika halafu tatu unaacha kabisa 🐒
Nilishapunguza kabla ya kupumzika....Sasa NAACHA..... Yaani hizi siku 30 nazosemea ni za kupumzika kabisaaa maana nilipiga dozi siku 14 nikakaa ...bila dawa bila pombe nikaenda Tena hospital..nikapigwa tena dozi ya siku 14 hapo almost siku 31 ... Na nimemaliza Sasa Nina wiki Tena mbele.... Sirudi Misri Mzee naenda kanani...
 
Back
Top Bottom