Bahati mbaya Sina namna ya kukuhakikishia kuwa nimeacha ... Pombe niliyokunywa ni nyingi sana nikikuwekea hapo unaweza maliza miaka 10 na usizimalize....Wapo waliopinga na ninakaa nao vilingini na sinywi...ila round nawazungushia fresh tu nikiwa fresh....kifupi Kuna dozi Moja ya IONOX ya ngozi nilimtumia siku 14 sinywi pombe nimeenda nimeongezewa dozi Tena ... Nimemaliza juzi ..hivyo nimekaa mwezi naenda wa pili ... Sioni Cha ajabu ...miwili umetulia na akili imetulia ....ya Nini kurudia Tena pombe.