Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
-
- #41
Ni mpango kazi kabisa kiongozi na siwakimbiii baa nakaa nao na sinywi.walevi ni mazezeta wavuta sigara ndio viranja wao
hangera kwa kuonyesha nia kujinashua kwenye hilo kundi
Ni kweli 😀 nduguau nasema uongo...? mtani🤣
Wewe hunywi?Hongera sana
Sinywi sijawah na sitakaaWewe hunywi?
punguza kwanza gentleman,Bila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
Amina AminaBila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
Hujawai KUISHISinywi sijawah na sitakaa
Na ikawe hivyo in the name of Jesus
Nimeshakaa nje ya ulingo zaidi ya siku 30....punguza kwanza gentleman,
slow but sure ndio mpango wa kweli 🐒
Hongera ,unanifaa weweSinywi sijawah na sitakaa
Kwa kutokunywa pombe???Hujawai KUISHI
Asante na kufaa kwenye nnHongera ,unanifaa wewe
Kukuweka ndani,watu wale pilau mwaka huu,fungua pm chap,dakika mbili alafu ufunge tenaN
Asante na kufaa kwenye nn
kuna hatua tatu muhimu sana kuacha hiyo kitu,Nimeshakaa nje ya ulingo zaidi ya siku 30....
Watu walishakula pilau kitambo wamesha sahau🤣🤣🤣Kukuweka ndani,watu wale pilau mwaka huu,fungua pm chap,dakika mbili alafu ufunge tena
Dah,itabidi unipe ata mdogo Ako Sasa,njoo pm tu tuongee vizuriWatu walishakula pilau kitambo wamesha sahau🤣🤣🤣
Unamwachia nani sasaBila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
Nilishapunguza kabla ya kupumzika....Sasa NAACHA..... Yaani hizi siku 30 nazosemea ni za kupumzika kabisaaa maana nilipiga dozi siku 14 nikakaa ...bila dawa bila pombe nikaenda Tena hospital..nikapigwa tena dozi ya siku 14 hapo almost siku 31 ... Na nimemaliza Sasa Nina wiki Tena mbele.... Sirudi Misri Mzee naenda kanani...kuna hatua tatu muhimu sana kuacha hiyo kitu,
kwanza unapunguza, pili unapumzika halafu tatu unaacha kabisa 🐒