Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
-
- #61
Hamna kitu Cha hivyo... Hapa kwenyewe nipo nao ..... Wao wanapiga gambe mi nipo zangu na maji kama ngamiaPia kubaliana kuwapoteza marafiki zako ambao pengine wakati kupata moja baridi moja moto mipango ya pesa ilikuwa ikisukwa
SinaDah,itabidi unipe ata mdogo Ako Sasa,njoo pm tu tuongee vizuri
Wengi sana asee..acha tupandiahe Kodi na upande wa vinywaji baridi....Unamwachia nani sasa
Ata kama zinatofautina sio sana,damu mojaSina
Tabia hutofautina hata kama ni damu moja weka akilin hilo
SawaAta kama zinatofautina sio sana,damu moja
Kama unachezaga na dada zako unafikiri wanaume wote wapo hivyo !??......ni wakati sasa wa kucheza mdako na watoto wako
Haraka kwako ni muda gani!??...Kuacha kwa haraka. Ni uongo labda upunguze ubalance na vitu vingine
Tunasikitika kutangaza kuondokewa na mlipa kodiBila kushawishiwa na yeyote nimekaa nimeona imetosha Sasa. NAACHA RASMI POMBE ..Sigara niliacha zamani Sana.
Mmmh watu wamepinda!!!Na mimi naacha punyeto rasmi kwa jina la Yesu. Ee Mungu nisaidie
Sasa kuacha kwako pombe unatuambia sisi ili iweje? Unataka tukusaidie nini?Bahati mbaya Sina namna ya kukuhakikishia kuwa nimeacha ... Pombe niliyokunywa ni nyingi sana nikikuwekea hapo unaweza maliza miaka 10 na usizimalize....Wapo waliopinga na ninakaa nao vilingini na sinywi...ila round nawazungushia fresh tu nikiwa fresh....kifupi Kuna dozi Moja ya IONOX ya ngozi nilimtumia siku 14 sinywi pombe nimeenda nimeongezewa dozi Tena ... Nimemaliza juzi ..hivyo nimekaa mwezi naenda wa pili ... Sioni Cha ajabu ...miwili umetulia na akili imetulia ....ya Nini kurudia Tena pombe.
Itakuwa alipengewa kamasiIla usiache kutupa darsa ulikutwa na nini hadi kufikia uamuzi huo.