Naacha ujinga

Naacha ujinga

Huyu ndie anayezalilisha akili za wanawake wa jf jinga sana hili
Nikiwa na mtoto kama wewe nitabadilishana kwa paketi ya karanga mbichi
 
Mnakawia kukinai basi.
Sasa hivi utarudi tena na mada za malalamiko.

Wanawake ni kama watoto wanapopata toi mpya. Siku za kwanza anakuwa na shauku nayo, akiichoka inatupwa huko.
Hapana nataka ndoa yeye yupo yupo aih
 
Mapenzi yanahitaji uvumilivu na kujitoa zaidi, na si kupata zaidi.
 
Back
Top Bottom