Naacha ujinga

Naacha ujinga

Nami niko serious

Ili niache kulala mwenyewe 😀😀niwe napewa na kodi ya meza
Nasubiria kuona tangazo lako kule love connect, nione vigezo na msharti yako 😅😅😅
 
Ukishakuwa umejikatia tamaaa to the maximum
😅😅😅😅 Aisee sikuwa najua. Kumbe ndio tafsiri yake? Basi ngoja nihairishe, bandiko nililokuwa nataka nikaliweke 😅
 
Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious.

Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
The women "celebrating" the so-called Women's day are the same women that:

- Harass & persecute their housemaids

- Intimidate junior female employees

- Sleep with their bosses for favours

- Steal money for women's empowerment.

Hypocritical & duplicitous.

#BetterTogether
 
Mwanamke akifikishaga umri wa 28+ afu awe Hana ndoa ama mahusiano yanayoweza kuzalisha ndoa huwaga Anachanganyikiwa Sana.

Wengi wao huwa wanahisi wamerogwa kumbe Wenyewe ndo walijichelewesha kwa kuweka vigezo vigumu eti Mara nataka mwanaume mwenye pesa,gari,mweusi,mrefu na asiwe anatumia Tecno.
 
Back
Top Bottom