Naachaje kuchepuka ?

Kwani mke si anamwona huyu jamaa mwema?

Haya, mke naye anaonekana mwema kwa huyu jamaa.

Hapo unadhani mke naye katulia tu? Analijua mwenyewe...huenda yeye kakosa pa kuanzishia uzi anachepuka kumzidi huyu.
Mungu azidi kumlinda!
Mana nimemtrack kila line na social networks nimetumia apps tofauti kama whatsapp webu sijaona shida kwake ndio mana ninaumia zaidi.
 
Unampenfa afu unamsaliti. Matumaini wajipayo wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ninao chepuka nao hawamfikii hata kidogo. Sasa unafata nn??
Acha uzinzi ww
 
mkuu vaa chupi ya chuma alafu funga na kufuli funguo muachie mkeo nyumbani hiyo ni dawa pekee ya kuacha uzinzi....ukielewa nimemaanisha nini utafanikiwa
 
Rudi Kwenye Imani Yako. Tubu Na Acha Kabisa
 
Pole sana mkuu,ila tambua hiyo ni hulka mhimu mheshimu zaidi mkeo na uchepuke kwa step
 
Nashukuru sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…