Naachaje kuchepuka ?

Huwa kila siku tunajifunza, nina jamaa ana bonge la wife, yaani mke wake ni mzuri sana. Ukimuona tu lazima umtazame tena, lakini to my surprise jamaa ni mchepukaji number one. Halafu akikuonyesha clips anazotuhumiwa na hao mahawara zake, ni wa kawaida tu lakini anawala balaa.

Kuacha ku-cheat ni maamuzi tu, tena maamuzi ya kujikana nafsi hadi uzoee hali ya kuishi na mtu mmoja, regardless anakupa punani kila ukimhitaji au anakubania. Wengine wana wake ambao sio fans wa kufanywa kila siku lakini wametulia tu na wake zao.

Dunia hii ridhika tu na kile ulichopewa, ukiwa mroho sana utaishia kuumia tu.
 
Hakuna Cha tabia. Kuna mambo yanapelekea mtu achepuke. Iwe kwa mwanaume au mwanamke. Na ukiona mke anachepuka ujue kavumilia mengi..watu wanaitafuta furaha sehemu iliyopo
Fantasy????
 
M nahis hamna cha pepo wala nin n maamuz tu ukishaamua mbona kila mwanamke utamuona wa ovyo n maamuz tu
 
Ukioa ndo unakuwa upo kwenye nafasi kubwa ya kuchepuka na kuwa na wanawake wengi kuliko mabachelor ambao hawajaoa
 
Me mke wangu sioni sababu ya kumsaliti kabisa ndo maana nimetuliaa..tukigombana nafanya namna mpaka tupatanee..Tunda ananipa kila nikihitaji so sina mizukaa kabisa...
Akiwa siku zake vipi unaponea wapi?
 
Ridhika na mkeo
Muosha huoshwa
Mkeo nae ipo siku watamnaniliuu ndo utajua maumivu yake
 
Mungu azidi kumlinda!
Mana nimemtrack kila line na social networks nimetumia apps tofauti kama whatsapp webu sijaona shida kwake ndio mana ninaumia zaidi.
Nahisi ww kma Mimi sema Mimi sijawahi kumtrack mke wangu naomba nipe tips za kufuata ili nimjaribu wangu. Ila pole sikupi maana pusy nazo zinatofautiana radha. Huwezi ukala mchicha mwaka mzima lazima utafute japo kisamvu.
 
Yani pamoja na tabia ulonayo ilokithiri lakini mkeo hajaweza kukustukia?

Hapo ndo huwa siwaelewagi wanawake wengi !

Sasa akiletewa ugonjwa yeye anaweza kufa kwa panic kuliko hata Yule mhusika mkuu.

Unajua mwanamke ukistukia mapema unaweza kuchukua tahadhari mapema kabla ya hatari.
 
Mwanaume wa hivyo bora kuachana mapema kwa usalama wa maisha ya mtu!
 
And vice versa is true!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…