Naachaje kuchepuka ?

Imeandikwa”
Mke mwema huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake!

Sasa huwa nawashangaa sana wanawake walioko kwenye ndoa wanaobweteka!

Sijui wamejikatia tamaa?

Mwingine anakwambia hata mkute mume wake akigegeda mubashara usimwambie eti?

Kuna wanawake wa ajabu sana!
 
Dah! ngoja kwanza nikue kue niyaone !!!
 
Write your reply... what goes around comes around braw....... hiyo unayoiita siri basi ukiendelea nayo pasi kuacha itakugeukia nawewe.....
 

Kiongozi naomba nikuambie kwamba hauko peke yako kwenye changamoto kama hiyo. Sisi tuliooa tunakutana nazo sana ila naomba nikupe hints zitakazosaidia kuacha kama ambavyo sisiwengine tulifanya

1. Block na futa namba zote za vicheche
Unapokuwa na namba ya kicheche ujue kuwasiliana naye ni rahisi sana yaani kama kumsukuma mlevi tu. Kwann nimekuambia ublock kwanza kabla ya kufuta, ni kwa sasbabu endapo kama mchepuko akikutafuta asikupate.

2. Punguza au acha mitoko isiyo ya lazima
Mkuu kama unapendelea kukaa maeneo ambayo yana ushawishi wa wanawake kama baa na clubs basi acha kabisa. Ukiendekeza manake mwisho wa siku utaishia kubeba mmoja.

3. Punguza kampani za washkaji wanaopenda wanawake. Mzeebaba asikuambie mtu kampani zinashawishi sanaaaa na zinachochea sana kujikuta unachepuka. Ninaposema punguza maana yake ni hatua ya awali kuelekea kuacha. Simaanishi kwamba una michepuko mitano upunguze uwe na mmoja.

4. Punguza monde.
Kama unatumia pombe punguza ama acha kabisa maana pombe inapelekea kuchukulia mambo kirahis tuu hivyo kuchepuka knakuwa rahisi sana.

5. Funga na sali.
Naamini unamuamini Mungu. Kuchepuka ni dhambi, ni kumkosea Mungu na tutakuwa accountable kwa kila tendo tunalolifanya. Mungu akisema usizini, basi tusizini. God first.

NB
Kuacha kichepuka ni ngumu ila inawezekana sana ukizingatia wife wako katulia kama ulivyosema. Ila naamini utaweza kama kweli uko serious na ni jambo jema kuumia roho ukichepuka that's Godly fear and it leads tp repentance and eventually salvation.

God bless brother.
 
asante kwa ushauri maridhawa
 
Kuwa bize na bia"""
Nimeacha rasmi mkesha wa mwaka mpya!
Ghafla zilianza kunikataa nikashangaa asubh nikamka natapika kinyama nikaona sio issue kwann hang over initese kiasi hicho now nataka niokoke but hii kitu above ndio mtihani sheikh
 
Thanks for the nice advice and hints Jah bless you
 
Shida sio uzuri wa mke mkuu, suala hapo ni 'show' au 'mechi'. Yaani mechi unazopiga na hao michepuko ni za kibabe yaani mnapelekana spidi hadi mnaloa kama mmeoga vile, sa kama mke mnaenda zile za kuoneana huruma polepoleee au kilainiii kamwe hutoacha mkuu. Na hapo ndo shida ilipo, wadada wazuri wanapendeza kuoa ila hawajui mechi nzito za maana za kuvunja chaga ila wabaya hawapendezi kuoa ila mechi zao ni nzuri. Braza inahitaji mabadiliko makubwa ufanye ktk tendo la ndoa na mkeo ili ufikie viwango kama na hao michepuko then utaacha
 
Humpendi Mkeo.....hakika ukimpenda pepo la michepuko linapita mbali na wewe...linaweza kuja...ukipambana nalo kwa kumpandisha juuu juuu juuu zaidi mkeo...linahamia kwa jirani.....
 
Oyaa mzee baba, hii ni kawaida ila kama unazidisha ndiyo mbaya.....we jichanganye na washkaji same age ama above, itaanza kupungua lakini ukizidi kuwa guilty kama ulivyoanza ndiyo unaharibu, punguza ama anza kuacha kwa kufuta mawasiliano na hao watu. Relax mzee ..... we been there done that or still tunanyoosha ki Gwaji boy
 
Halafu wanasema ukiwa mwema mume atatulia. Wapi bwana kama umeolewa na binamu yake shetani hata ungekuwa mdogo wake malaika Gabriel hakuna kitu unaweza kufanya
Kwahiyo unasemaje sasa dada Khantwe .Wadada wasitulie au?
 
Kwani mke si anamwona huyu jamaa mwema?

Haya, mke naye anaonekana mwema kwa huyu jamaa.

Hapo unadhani mke naye katulia tu? Analijua mwenyewe...huenda yeye kakosa pa kuanzishia uzi anachepuka kumzidi huyu.

Unajuaje mke anamwona jamaa mwema?
Kuna wakati unaona kabisa hayupo kwenye mstari
Unamuacha mpaka ajae kwenye 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…