Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Umechelewa sana kulijua hili mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana Burundi mkuu!! Mimi nipo huku kwa wiki ya pili sasa!! Hali ya hewa ni nzuri sana kwa kilimo na pia kwa makazi!!Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.
Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.
Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.
Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.
Nimegundua CCM haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.
Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?
Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?
Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?
Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?
Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?
Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?
Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?
Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.
Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?
Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?
Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.
Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?
Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.
Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.
Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years
Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.
Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kuhuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria?
Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.
Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Marais aliyepo madarakani.
Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Kila laheri ndugu.Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Pole mkuu. Mpiganaji hakati tamaa. Kukata tamaa ni kusaliti mapambano. Na mapambano kwa mazingira ya TZ siyo lelemama.Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Usiondoke wala kuacha siasa kwani saa ya ukombozi ipo karibu zaidi ya unavyofikiria!Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kihuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria?
Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.
Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Rais aliyepo madarakani.