Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

Brother katika siku umeongea kitu kikubwa sana ndani ya hii nchi ni leo,TZ ni kama tumekua mazombi kabisa tunachezewa na wanasiasa watakavyo huku tumenyamaza.
Nimeamua miaka mi4 nyuma kupambania life langu na familia tu maana ukamanda ulinishinda mimi
 
So to wake up from Yesu twende kwa Iluminat au tuwakimbie wote?
 
Mkuu kuna jambo haliko sawa...kwamba unasema umeamua kuachana na siasa za Tanzania ili usubiri wengine waamue nini utalipa katika kila muamala? nini utalipa utakapoingiza bidhaa kutoka nchi? Umechagua watu waamue kwa niaba yako ili juu ya maisha yako ya baadae wakati bado unaweza kufanya kitu, umeamua kukimbia vita ili watoto wako na wengine wasiojitambua au wasiojiweza waweze kufaidi juhudi zako.
 
Nakuunga mkono mkuu. Mie pia hapa nataka nitafute namna ya kuachana na mambo ya siasa. Ikiwezekana nimshabikie yeyote tu anayeniwezesha kupata ugali wangu.
 
Saw mkuu mwendo umeumaliza jina la bwana ...

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mimi niliacha toka uchaguzi wa 2015 baada ya kuchagua akina Waitara kule Dar wakahamia CCM,sasa si bora tuu kuangalia maisha yako
 
Siasa haziepukiki maana Kuna mambo yanafanyika yanakugusa moja Kwa moja hivyo inakupasa kuyasemea.
 
Sisi tunaojua tumechukua hatua gani?
 

Mimi nilishaacha long time. Wabongo wamelala sana. Hakuna namna. Elekeza nguvu yako katika kujiendeleza na familia yako.
 
Hao wabunge wa Ndugai
 
Mkuu umeona mbali sana.Tatizo ni sisi wananchi wenyewe!
 
Jana nilihoji kwa nini CHADEMA hawajakinukisha wakati mwenyekiti wao kafungwa jela!

Nikaambulia kejeli tu.
 
Nenda salama baba, nyumbu ya Chandimu
 
Tatizo lingine wanatanzania tumelizika kuwa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…