Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Ccm waache kuwatesa wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye unafiki ungebold kabisaKweli tupu.
Tatizo la Tanzania ni uoga wa wananchi wake.
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana uoga unafki uongouongo ndo vitu tunavyoweza.
Na usijiroge ukajifanya unataka kuwapigania yakikukuta wao ndo wa kwanza kukusema pembeni.
Jitahidi uachane na roho yako pia ili upumzishe mwili kwa amani😁😁😁😁Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.
Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.
Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.
Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.
Nimegundua CCM haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.
Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?
Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?
Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?
Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?
Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?
Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?
Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?
Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.
Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?
Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?
Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.
Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?
Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.
Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.
Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years
Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.
Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kihuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria?
Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.
Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Rais aliyepo madarakani.
Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Kamanda elekea Burundi hapo ni karibu unaweza rudi fasta wakati wowote ukitaka kuja kusalimia nyanya yako baba yako na mama yakoNdugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Njia aliyoitafuta kwa zaidi ya miaka 7 bila kuiona?Nayaheshimu maamuzi yako ya kioga, askari hatakiwi kukimbia uwanja wa vita, anachotakiwa ni kutafuta njia mpya za kukabiliana na adui.
Sasa vipi tenaaa[emoji852][emoji852]? Magufuli wetu mliye mchukia si kawapisha njia na mlishangilia kabisa kufa kwake ,sasa mbona mnaendelea kututukana wakati huu ndiyo wakati wenu wa kula bataWatanzania sio binadamu halisi bali ni misukule ama kwa jina lingine ni ndondocha...
Magufuli alikuja -akawa anakusanya ghalani kwa nguvu mkamwita dictatorNdugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida.
Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni mfumo ulisimikwa na sisi wananchi wenyewe.
Kumbe tatizo ni sisi sio Marais wa CCM.
Naumia sana juu ya taifa langu naona litachelewa kwa sababu ya mfumo huu tuliojiwekea na kuulea sisi wenyewe.
Nimegundua Marais hawajawai kuwa na tatizo katika nchi hii.
Nimegundua CCM haijawai kuwa na tatizo katika nchi hii tatizo ni sisi wenyewe.
Kwamba Akwilina alipigwa risasi hata wanafunzi tu wa chuo chake wakashindwa hata kuandamana?
Mawazo aliuwawa kihuni wafuasi wa chadema Geita wakashindwa hata kuandamana?
Mwangosi na Gwanda waliuwawa wahandishi wa habari wakashindwa kabisa hata kuandamana?
Msanii Roma na Ney walitekwa na wasanii wakashindwa hata kuandamana?
Mo alitekwa hata wafanyabiashara wenzie wakashindwa hata kuandamana?
Ulimboka alivunjwa vunjwa hata madactari wakashindwa kuandamana?
Lissu akapigwa risasi wanachama Chadema wakashindwa hata kuandamana?
Nape akanyooshewa bastola lakini wanachi wakashindwa hata kuandamana.
Mbowe akafungwa,Sugu akafungwa, Lema akafungwa watu hata kuandamana?
Sasa hivi Mbowe kafungwa jiulize Mbowe anakosa nini kuishi na familia yake?
Mbowe hana pesa za kula mpaka mwisho wa maisha yake? Jibu anazo ila anapigania watu ambao hawajielewi.
Lakini jambo lililonishangaza zaidi ni Watu kuvunjiwa nyumba zao kinyume na sheria lakini hata kuandamana hakuna? Hizo nyumba zilikiwa za chadema, CUF au ACT?
Ila kilichonifanya kabisa niachane na siasa na kuona tatizo sio Ccm wala Rais anayekuwa madarakani tatizo ni Watanzania ni hili swala la TOZO.
Kwa nchi za wenzetu kupandisha hata mia kwenye mkate tu kungeiondoa serikali madarakani.
Leo hii sukari imepanda kwa 100% within 5 years
Mafuta yanapanda tu hovyo hovyo ila watu tumelala tu.
Kuna mtu anasema eti Rais anawalazimisha polisi kutesa watu sio kweli nakataa Rais anabeba bunduki wewe unayebeba bunduki kwanini usifuate Sheria? Kwamba Rais anawalazimisha mahakimi kuhukumu kesi kihuni? Wewe hakimu kwanini usifuate sheria?
Kwamba Rais alibeba bunduki na kumpiga risasi Tundu Lissu au Mwangosi wewe uliyetumwa unge kataa wangekufanya nini? Mfumo tunaulea sisi wananchi, Wafanyakazi wa serikali ndio tatizo zaidi lakini cha kishangaza na wao mishahara yao inachezewa tu na kutopandishwa.
Mfumo tumeulea sisi Watanzania na tuache kuwasingizia Ccm na Rais aliyepo madarakani.
Kiufupi nimeachana na siasa, nimeachana na Tanzania nimekata tamaa, nimepoteza uzalendo nitaondoka Tanzania na kwenda kuishi na familia yangu kwenye nchi nyingine inayofuata misigi ya Sheria, Haki na Uwajibikaji wa viongozi.
Sasa vipi tenaaa[emoji852][emoji852]? Magufuli wetu mliye mchukia si kawapisha njia na mlishangilia kabisa kufa kwake ,sasa mbona mnaendelea kututukana wakati huu ndiyo wakati wenu wa kula bata
Umemuelewa mleta hoja hata kidogo ?!.Magufuli alikuja -hakawa anakusanya ghalani kwa nguvu mkamwita dictator
Samia amekuja - anatapanya kwa nguvu ,sasa mnaanza kulia tena ,
Sasa hapo ndiyo mtajua mtapanjaji au mkusanyaji yupi kiongozi bora
Magu tunakukumbuka hadi chagadema wameanza kukata tamaa na nchi