Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume.

Wanaume tumebaki wachache sana....

Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke.....

1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke.

2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka kadhaa sababu ni mwanamke.

3.Na mwisho umasikini pia sababu ni mwanamke.

Wengi wanaokufa kwenye misheni mbalimbali ni wanaume,,,,,,,,,hii inahitaji angalau IQ yako iwemo kuwemo ndimo utaelewamo.

Wanaume kadhaa mionekano yao (kama kutoboa masikio na kujipodoa) aina ya maisha yao ni kama wanawake kabisa na wengine wameamua kabisa kubadili jinsia.

KIMSINGI ZINAHITAJIKA JITIHADA ZA KUOKOA UZAO WA MWANAUME,,,,,hii ni kwa kifupi,,,,,,,
 
Yes, Mwanaume anaporwa vingi sana sio hela na uhuru hata uhai.

Na wanawake wengi wana tabia za kiume wamebakiza kuchonga " O "

Hapo zamani hadi sasa ikiaminika kuwa Mwanamke kama chemi-chemi ya Maisha .... Kuwaharibu wanaume ( Dhaifu ) ambao ni wengi wewe deal na kumharibu mwanamke.

"Watabadilisha kila kitu ila wakibadilishwa na mwanamke hata channel ya TV hawataweza kuibadilisha".
 
Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume.

Wanaume tumebaki wachache sana....

Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke.....

1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke.

2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka kadhaa sababu ni mwanamke.

3.Na mwisho umasikini pia sababu ni mwanamke.

Wengi wanaokufa kwenye misheni mbalimbali ni wanaume,,,,,,,,,hii inahitaji angalau IQ yako iwemo kuwemo ndimo utaelewamo.

Wanaume kadhaa mionekano yao (kama kutoboa masikio na kujipodoa) aina ya maisha yao ni kama wanawake kabisa na wengine wameamua kabisa kubadili jinsia.

KIMSINGI ZINAHITAJIKA JITIHADA ZA KUOKOA UZAO WA MWANAUME,,,,,hii ni kwa kifupi,,,,,,,
Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi. Jililieni nyie na watoto wenu.
 
FF4AB24F-EB4A-445F-AAEC-FCF584306591.jpeg
 
Back
Top Bottom