Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume.
Wanaume tumebaki wachache sana....
Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke.....
1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke.
2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka kadhaa sababu ni mwanamke.
3.Na mwisho umasikini pia sababu ni mwanamke.
Wengi wanaokufa kwenye misheni mbalimbali ni wanaume,,,,,,,,,hii inahitaji angalau IQ yako iwemo kuwemo ndimo utaelewamo.
Wanaume kadhaa mionekano yao (kama kutoboa masikio na kujipodoa) aina ya maisha yao ni kama wanawake kabisa na wengine wameamua kabisa kubadili jinsia.
KIMSINGI ZINAHITAJIKA JITIHADA ZA KUOKOA UZAO WA MWANAUME,,,,,hii ni kwa kifupi,,,,,,,