uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini ya kumbakisha jangwani Aziz (kwangu mi sio shida maana ni kawaida wachezaji kupitia tz sababu sio destination ya mpira hasa afrika)
Swali kama hili Nina uhakika angeulizwa hapa tz na muandishi majibu yasingekuwa mazuri "nani kakwambia!?"
"Unauhakika na swali lako!?"
"Naona maswali yameisha"
Ukweli ni kwamba waandishi tz wamekuwa wakikutana na majibu ya kejeli na yenye kutweza utu wao mno kutoka kwa vyanzo vya habari ambao in turn wakienda nje hujidai very humble
Badilikeni
Kuhusu Aziz Wala hana pengo atakaloacha ubingwa yanga itachukua kama kawaida mtu mgumu kumpata kwa Sasa ni Diara na Aucho