prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,297
- 2,596
Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana kwa kama wiki nzima huku dawa nilizopewa hospitali kutosaidia kit.
Tukiwa kitandani shemu wenu akaniona navojikuna akasema bado panasumbua nikasema naona ndo panazidi.Akasema,ushaona kaburi maeneo yeyote karibu na hapa.Nikashituka nikajitoa kifuani kwake nikakaa kitako kisha nikasema KABURI??!!Aakasema ndio.Nikamwambia ndio kwa bibi yake mama fulani kuna kaburi la babu yake.Kwanini umeuliza.
Akasema kachote mchanga wa hapo kidogo ulete nikuchanganyie na mafuta ya alizeti nikupake hapo siku haiisho kinaisha.
NIlichoka,nikageukia zangu ukutani kimya nikalala.Ingekua enzi zangu kqbla sijawa mke mwema ningempa mfyonyo mrefuuu wakukera na kutia nyufa kwenye penzi.
Hapa nimeingia insta nakutana na huo ushuzi.Cha kusikitisha ni vile una comments nyingi za watu walio serious kabisa wakiomba waelezwe vizuri na wakiamini vinafanya kazi.
Hivi inawezekanaje uamini ujinga kutoka kwa mjinga ambae hata kuandika vizuri hawezi?
Hivi kwanini unaweza kutana na muafrika mwenye hekima na akili nyingi za kuzaliwa na au ni msomi na katembea dunia nzima mwenye exposure ya kutosha tu ila hakuna kitu utasema/fanya ufanye aache kuamimini kuwa uchawi/uganga/chumvi/mafuta ni porojo tu havifanyi kazi.
Natamani niishi hadi siku nishuhudie hizi imani pumbaifu zikiisha.
Imagine karne hii sisi bado tunaamini maujinga.
Nikiwa rais mbali ya ile kampeni ya kutokomeza singomaza nitaanzisha kampeni ya kuelimisha kuwa uchawi/ugqnga ni vitu vyakufikirika
Unajua ni sawa babu zetu wq kale kuamini uchawi sbb sayansi ilikua haijawapa majibu ya vitu vingi walivyohisi vinatokana na nguvu za giza lakini ni huzuni sisi kuendelea kuamini ujinga wa mababu zetu ilhali sayansi imefumbua mafumbo mengi.Hata kuanguka na kutoka damu puan/mdomoni bafuni/chooni sayansi tayari ishatuambia sababu zake na jinsi ya kuzuia hilo kutokea.
Nahuzunika zaidi nikisikia GEN Z akiamini kuna uchawi.Natamani hawa madogo wa kiafrika wawe na mentality kama za wenzao wa mambele coz hichi ni kizazi tegemewa.
NB:Mlosema mimi ni mwanaume naomba niwarahisishie kwa kusema ndio mimi Prida ni mbaba wa makamo mpenda visungura mwenye upara wa kiprofesa mfupi mnene ,nina ndita usoni na kitambi(nimefanya mazoezi kimegoma kutoka nimeamua kuachana nacho).