Sorry Kuna uwezekano mkubwa ktk wilaya yenu wewe ndio mpumbavu #1. Mtu muelevu hawezi kujisifia yeye ndio muelevu. Welevu wa mtu wanaujua wengine.
Kuzitelekeza mila na destuli zetu ksbb ya kuiga yote wanayotulazimisha wazungu ni upumbavu #1.
Yapo mambo ya kuiga kutoka ng'ambo,pia yapo mengi ya kwetu yanayostahili kuwepo. Ukijiuliza mababu zetu walikuwa wanadumu miaka mingi sbb ya hizo mila na destuli unazozidharau leo, na zilikuwa zinafanya kazi 💯. Baada ya kuingia uzungu watu wetu nao wakaingiza uongo kwenye hizo destuli za kiafrica. Lakini zimefanya kazi vizuri sana kabla kuingiza uongo.
Kitu kikubwa unachotakiwa ujue wazungu wana uwezo mkubwa. Wameziua mila na destuli zetu ksbb waliona zinatukutanisha pamoja tunakuwa wamoja sana. Sasa ili kutuchukua ufahamu wakatufanya tuanze kudharau cha kwetu kama ngoma za asili,vyakula vyetu vya asili,mila na destuli kama hizo unazozidharau ili tuchukuliwe na tamaduni zao jumla. Kumbe ndio tunapotea mazima.
Mpaka sasa ukikutana na tiba ya asili ambayo ni sahihi ukiondoa hao walioingiza uongo. Tina ya miti shamba ni bora mara mia kuliko hizo hizi tiba za kizungu zenye dawa zenye sumu 💯. Na ndio maana siku hizi magonjwa ni mengi sana.
Wewe umemezwa na usasa,uzungu. Fikiria nguvu ya wazungu. Chochote wakiamua kiwe dhidi yetu kinakuwa.
Tumepinga sana ushoga kwa kuongea lakini uhalisia uko hivyo kwenye miji yetu mikubwa? Uhalisia hali ni mbaya. Uzungu umetuchukua.
Fikiria wakaeneza mwanamke haki sawa. Mpaka mikutano ya Beijing. Unajua kilichozalishwa kuhusiana na hilo. Wanawake kujiona wako juu na kusahau uasilia. Hivi sasa vijana wa kiume hawataki kuoa ksbb ya watoto wa kike kujiweka kwenye level sawa na mwanaume.
Kifupi miaka 20,30 mbele kile tunachokikataa leo kitakuwa wazi mbele yetu, tutakuwa kama wanyama tu. Najua hatuna hata nafasi ya kujiuliza wapi tumetoka,wapi tulipo,wapi tunaelekea.
TUMEPOTEA