Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,
Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile
Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali kwamba sisi ni maiti,ingawa tumegawanyika pande mbili
CCM ndiyo maiti zilizooza kabisa wakiwemo vijana wao wabunge hata mawaziri,hii inajidhihirisha kutokana na kauli zao na matendo yao,
Haiwezekani kila siku kuitetea serikali hata kwa vitu ambavyo haviteteki
Mfano swala la Gwajima,alipoharibu kipindi kile na video ya ngono walimtetea,
Leo anasema ukweli wanamnanga,sasa hi si sawa na kuwa maiti
CHADEMA wanajielewa pamoja na baadhi ya Viongozi wao,hawa siyo maiti nikiwemo na mimi,kinachotuchelewesha ni uchaguzi huru na wa haki ili tukaizike hii mizoga ya CCM ingalau inchi ipige hatua mbele
Naomba Kenya muendelee kutufumbua macho ingalau tujielewe sisi ni kina nani,
Haiwezekani Mbunge ajue tu kusoma na kuandika ataiwajibisha vipi serikali,matokeo yake wamekuwa wakitetea serikali huu ni ujinga mkubwa sana na kawaida ya mtu mjinga ni kujikomba kwa watawala