Keyboard fighter bhana 😂CHADEMA wanajielewa pamoja na baadhi ya Viongozi wao,hawa siyo maiti nikiwemo na mimi
Naunga mkono hoja kwa kugonga meza mara buku yani watu kama Steve Nyerere ndio wanasimama eti kutetea hoja seriously?!!!!! Ifike mahala watu wajielewe matatizo kibao mtaani huku lakini hamna anaejali upuuzi tu ndio unaendeleaNaunga hoja mkono
Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,
Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile
Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali kwamba sisi ni maiti,ingawa tumegawanyika pande mbili
CCM ndiyo maiti zilizooza kabisa wakiwemo vijana wao wabunge hata mawaziri,hii inajidhihirisha kutokana na kauli zao na matendo yao,
Haiwezekani kila siku kuitetea serikali hata kwa vitu ambavyo haviteteki
Mfano swala la Gwajima,alipoharibu kipindi kile na video ya ngono walimtetea,
Leo anasema ukweli wanamnanga,sasa hi si sawa na kuwa maiti
CHADEMA wanajielewa pamoja na baadhi ya Viongozi wao,hawa siyo maiti nikiwemo na mimi,kinachotuchelewesha ni uchaguzi huru na wa haki ili tukaizike hii mizoga ya CCM ingalau inchi ipige hatua mbele
Naomba Kenya muendelee kutufumbua macho ingalau tujielewe sisi ni kina nani,
Haiwezekani Mbunge ajue tu kusoma na kuandika ataiwajibisha vipi serikali,matokeo yake wamekuwa wakitetea serikali huu ni ujinga mkubwa sana na kawaida ya mtu mjinga ni kujikomba kwa watawala
Aende Kenya akae wiki moja ataona ujinga wa wakenya. Asikae na kusikiliza matukio kwenye TV.Wakiyaweza yao haya nitaamini kuwa na yetu watayaweza ila kipofu kumuongoza kipofu tusidanganyane.
View attachment 3348274
Kwamba tanzania hamna mazingira yaliyofanana na hayo?View attachment 3348221
Kenya wenyewe hawajielewi ni akina nani. Unataka waje kukufundisha kuishi bila choo?, unataka wakufundishe kumpiga Rais na kiatu?, unataka wakufundishe kupinga kila kitu kizuri kwa misingi ya ukabila?, unataka wakufundishe kupigana na vyombo vya ulinzi na usalama?, unataka wakufundishe namna ya kutusi watu?. Kuna vitu vingine ukiwa umezaliwa TZ unaamka unakula makande, mihogo alafu unashiba, kisha unaingia kuangalia matusi mitandaoni huwezi kuvielewa.
Pata wasaa safiri, soma, tafuta data n.k. "Usishibe shibe". Maana shibe ina madhara kwa afya ya binadamu anaweza kuhisi yeye ni mfalme wakati ni kapuku, anaweza kuudharau ukoo wake na akaheshimu koo zingine.
Watufundishe jinsi ya kuibana serikali ili iweze kuwatumikia wanaichi ila siyo kuitetea,View attachment 3348221
Kenya wenyewe hawajielewi ni akina nani. Unataka waje kukufundisha kuishi bila choo?, unataka wakufundishe kumpiga Rais na kiatu?, unataka wakufundishe kupinga kila kitu kizuri kwa misingi ya ukabila?, unataka wakufundishe kupigana na vyombo vya ulinzi na usalama?, unataka wakufundishe namna ya kutusi watu?. Kuna vitu vingine ukiwa umezaliwa TZ unaamka unakula makande, mihogo alafu unashiba, kisha unaingia kuangalia matusi mitandaoni huwezi kuvielewa.
Pata wasaa safiri, soma, tafuta data n.k. "Usishibe shibe". Maana shibe ina madhara kwa afya ya binadamu anaweza kuhisi yeye ni mfalme wakati ni kapuku, anaweza kuudharau ukoo wake na akaheshimu koo zingine.
Huna akili ishi kwa kuwalamba watawala miguuAende Kenya akae wiki moja ataona ujinga wa wakenya. Asikae na kusikiliza matukio kwenye TV.
Sikujibu unavyotaka wewe kwa kuwa hauna akili, kazi yako kutukanisha Taifa lako, huwezi kutoa ushauri lakini kutukana, hali hiyo inadhihirisha unachangamoto ya afya ya akili, endelea kuwalamba kwato.Huna akili ishi kwa kuwalamba watawala miguu
Watanzania wanajielewa sana ila nyinyi CHADEMA na hao wakenya wenu ndio hamjielewiNakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,