Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

:::::MKUU MBAKASO NDIO MUNGU WA WABANTU MKUU.....!!!!TATIZO WABANTU MMEKIMBILIA DINI ZA WAGENI WAKOLONI
Kwani kila mbantu anasali? Mbona hatumsikii huyo mbakaso. Waafrica wamepotea sababu ya ulevi wa kupindukia bangi uzinzi kujifanya wajuaji ufisadi tamaa na ushirikina tu.
 
Hayo ni maneno tu, ndiyo maana huwezi hata kuthibitisha kwamba huyo Mungu yupo, achilia mbalia aliamuru chochote.

Ukibisha, thibitisha huyo Mungu yupo.
Kithibitisho ni jiangalie wewe hapo na mazingira yako nd unachoweza kupata mpagani. Ila watu wa Mungu wanamuona mbona na wanamthibitisha hata katika maisha yao ya kila siku ila dunia imewadeceive vitu mnvyopenda kuona nd vya maana.
 
Kithibitisho ni jiangalie wewe hapo na mazingira yako nd unachoweza kupata mpagani. Ila watu wa Mungu wanamuona mbona na wanamthibitisha hata katika maisha yao ya kila siku ila dunia imewadeceive vitu mnvyopenda kuona nd vya maana.
Hujathibitisha Mungu yupo. Unabwabwaja tu.

Mpagani anaamini Mungu, mimi siamini Mungu.

Wewe ni ngumbaru hata hujui mpagani ni nani.
 
Thibitisha kama dini ya kikristo imetetea utumwa kwa vifungu tuone hapa. Na wapi imeandikwa dunia ni flat. Wapi bible imesema tuibiane makanisani.
 
Hujathibitisha Mungu yupo. Unabwabwaja tu.

Mpagani anaamini Mungu, mimi siamini Mungu.

Wewe ni ngumbaru hata hujui mpagani ni nani.
Sasa kwenye bible mpagani ni mtu ambae haamini katika Mungu wa kweli na kajitengenezea miungu yake kwa mfano masanamu mali au hata maarifa yasio sahihi. Kwahyo hapo wewe ni mpagani kutokana na bible. Na ungeweza kutumia kauli ambayo kristo anataka kutojiona bora kuliko wenzio na kutowadharau ningeona una mantiki hivo inathibitishwa kuwa ukisoma bible vizuri utasafishika roho na kuweza kuwasaliana na jamii yoyote ile haijalishi mtazamo.
 
Nakupeleka ignore list, hujafikisha viwango vya kujadiliana na mimi.

Wewe unaniona mimi mpagani, mimi nakuona wewe mburula ngumbaru guluguja gubegube.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.
 
vitabu vya dini vinafanya kua mfuasi wa dini na si kufahamu ukweli kila mmoja na stori zake.

Inabidi kutembea wenyewe kujionea haya masuala ya kwamba moto ulishuka ukafanyaje mara nini sijui.

MUNGU yupo na sipingani ila haya niko against hizi mambo zingine na nasoma biblia kama kitabu kuongeza maarifa na kufahamu ukweli zaidi na ningefahamu kiarabu quran ningekua nayo sambamba.
 
Ila kwenye story ya Job shetani alikuwa mbinguni na Mungu wakibet
Ndiyo alikuwa anaenda na baadhi ya malaika alikuwa ni rafiki yao mzuri tu na hawakuamini kam kiongozi wao kahasi mpaka alivofanya shambulio kwa masihi ndipo akanyang'anywa mamlaka zote na hawezi fika mbinguni tena. Lakini pia alikuwa akienda tu sio kwamba aliishi huko au kuwa na mamlaka maan alikuwa ashakula kipigo na Michael asingeweza mruhusu tena kule.
 
Nakupeleka ignore list, hujafikisha viwango vya kujadiliana na mimi.

Wewe unaniona mimi mpagani, mimi nakuona wewe mburula ngumbaru guluguja gubegube.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.
Pole mkuu ungemjua Yesu usingekuwa na hasira na mitazamo ya watu kiasi hicho. Sasa upagani na matusi ulioandika ni kipi kibaya hapo. Mungu aje akufungue macho aisee.
 
Mbona hiyo nayo haiwezi kuthibitishika kwanini tuiamini kuliko dini?
 
Pole sana kiongozi
Pole kweli kweli
Endelea kujifunza utafikia ujuzi
 
Hata hao walioandika hayo mambo they were trying to explain the power that created the universe so they are not full correct.


Ila hayo mambo mengine ni kutishana tishana tu tena pengine ni kwa maslahi binafsi
Kwa maslahi ya nani wakati bible haijamkweza mtu wala kumshusha mtu. Ila binadamu wote ni sawa kwa kila nyanja. Kwanza unaelewa hata upendo maana ake nn.
 
Kwahyo kwasababu upinde wa mvua iliwekwa kama alama nd we unaona ina maanisha kuwa ulianzia siku hyo. Kwan mtu anavosema naweka jiwe la mpaka wa tanzania na kenya kweny kipande cha ardhi hichi hapa nd inamaanisha hicho kipande cha ardhi kimetokea siku hyo hyo? Hujui kwamba kila kitu kilishaumbwa tangu mwanzo kila unachokiona. Hujui Mungu anatoa maagizo na miujiza na maajabu kutokana na demand ya vizazi fulani.
 
Kama Mungu anapenda tumtii bila shuruti kwa nini alitupa uwezo wa kufanya mabaya na kutenda uovu ambao yeye unamchukiza?

Alishindwaje kutuumba tuwe tunafanya mema na mazuri tu kama atakavyo yeye??

Ana uwezo wa vyote kweli huyo Mungu??
Kujua kuhusi mabaya tulijitakia hujui kua Adam kabla ya kula tunda mema na mabaya alikuwa hajui lolote kuhusu mabaya. Mabaya ni adhabu ya kutomtii aliekuwa anajua mabaya ni shetani nd aliewashawishi wanadamu wale tunda la mema na mabaya.
 
it's said that kabla ya mtu kuumbwa mungu mwenyewe anakuwa anajua hatima ya kila mtu kuwa ni wa peponi au lah hata kabla hajaumbwa, si ndio?
Kwani mwalimu akijua kuna kilaza darasani akatoa mtihani na akajua fulani atafeli hyo ina tafsiri gani na influence ya mwalimu juu ya mwanafunzi huyo?
 
Hakupanga tujue mema na mabaya ndugu. Mema na mabaya ni adhabu ya uasi wa kwanza kuwa usile tunda la katikati ya mti.
 
Hayo mabaya kama hayapendi yeye si Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje Kuto kuumba Dunia isiyo na mabaya??

Mabaya ambayo humsababisha mwanadamu ayafanye...
Mabaya ni adhabu kwa kuasi kwasababu mabaya yote adhabu yake ni kifo.
 
Hapa kuna vitu viwili unachanganya kati ya view ya Mungu kwa wanadamu na view ya binadamu kwa Mungu. Kwa Mungu dini ni hukumu yako wewe yani ukiadhibiwa usije lalamika kuwa umeonewa(harsh but nd reality) ila kwa mwanadamu dini ni zawadi ya kuweza kumjua Mungu wa kweli na pia uwe na idea ya kitu gani utakutana nacho katika hukumu lakini hujui siri hiyo so inabidi ujifunze kufanya mema lakini bible imeweka wazi kuwa mtu muovu huongezewa uovu zaidi ili apotee it means kuwa destiny zetu Mungu anazijua. Sasa cha kufanya ni nini kama Mungu amekupa neema ya kufanya mema wewe jitahidi sana maan kuna watu it was over before it even started.
 
Lakini hamna kitu ambacho binadamu atafanya kinachostahili kuungua milele. Hii adhabu imewekwa na dini ili kuendesha watu. Hazikuwepo katika agano la kale. Ndo maana wanajua kwa hii adhabu wote mtakubali kuendeshwa na wanaosema dini imewafata wao
Swali ni je nani anatakiwa amuendeshe mwenzie according to bible? Usije ukachanganya interest za watu na mafundisho ya Mungu ndugu. There is no such thing kuendeshana kwenye neno la kweli nd maan Yesu mwenyew alikuwa masikini mtot wa fundi seremala(sio furniture ni seremala) hakuwa na gari wala meli za kisasa hakuwa na jumba la kifahali wala nyumba tu ya kuishi. Alikuwa anavaa nguo za kimasikini marafiki zake masikini ndugu zake masikini aliteswa na serikali na hakuwafanya chochote alijinyenyekeza mbele za watu wote leo hii unakuja kusema dini inataka maslahi ya watu emu lete vifungu hapa dini inambeba nani usilete story sijui za utumwa sijui nini sababu hao wakoloni hawakutumia dini peke ake. Kwann usiikatae sayansi pia ilitengeneza meli kubwa zinazoweza kufika vina vya kutisha kuzunguka dunia(Sayansi) , navigation systems( sayansi) silaha nzito( sayansi) baadae ndege(sayansi) kuna matumizi ya mawasiliano( sayansi) kuna uchimbaji madini(sayansi) kuna utengenezaji wa madini kwenye majengo yao kwa nakshi( sayansi) kuna kuweka masettelite ya kukusanyia data( sayansi) kuua wanyama wetu( sayansi) madawa ya kulevya( sayansi) mpaka mapinduzi ya technlojia simu janja ukoloni mpya( sayansi) kuchukua rasilimali watu zetu kwa kutamanisha mali zetu( sayansi) kuendeleza vita ya congo ili wapate madini ya kutengenezea simu na computer(sayansi) vita kubwa za dunia nuclear bombs na new technlogy zote(sayansi) uko hapa kushambulia maandishi kisa yamekukataza kuiba kuzini kusema uongo kusengenya kutukana wazazi na nyanja zote za kiujumla. Ushoga wenyewe ni zao la sayansi kupitia media za magharibi na siasa uchwara za shetani ila dini tu nd unaona imeiharibu africa. Sasa kwa akili hizo za mwafrica utalaumu dini kuwa kwann hujatoboa wakati hao unawasujudu wanahaha kuhakikisha watu hawafichui madudu yao yaliyojificha kweny hiyo mnaita sayansi. Muafrica umejitengenezea Mungu wako anaitwa pesa ambae nae huna nd maan unashadadia sayansi iliyokuvua nguo wewe na kuiacha dini iliyokuletea utu. Na kwa taarifa yako wamisionari sio wakoloni watu kama akina Paulo nchi kibao wameteswa kutangaza dini tu na watawala mbali mbali we chaganya mambo shetani akuchote. Endelea kushobokea sayansi iliyokuletea mashoga na uzinzi na uasherati(mitandao ya porn yote ni zao la sayansi) usengenyaji tamaa za kijinga sijui lamborghini sijui ferrari illusion tupu sijui story mwezini kwenye tambalo lako la utumwa linaitwa smart tv au smartphone mwisho wako ni moto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…