Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Ugumu wa maisha na maswahibu yake ndo yanaleta Radha ya maishaKwahio dunia isingekua na vita wala magonjwa ingekua inaboa sana eh...?
Kama imekufikirisha basi akili yako imekomaaumenifikirisha mkuu!
Wewe unaona hivyo sio kila mtu kwa hiyo we ukiwa na maisha ya furaha utatamani huzuni ili maisha yanoge ..na urefu na ufupi ni vitu quantitative na sio qualitative Kama wema na ubaya....na wema na ubaya according to Mungu wa hizo dini ni subjective unategemea na tamaduni mbalimbali ndo maana unakuta huyu ana wake wanne huyu anakula nguruwe huyu anavaa magunia...so hatuwezi sema dini inatufanya tujue wema na ubaya. Yesu kidogo alijitahidi na kusema tuwatendee wenzetu tunachopenda kutendewa, hupendi kuuliwa ndo maana hauui. Hupendi kuibiwa ndo maana hauibi. Ila haya Mambo ya zinaa sijui mavazi sijui chakula sijui sala 56 kwa siku yote ni ya binadamu kutokana na maisha waliyotaka kuishi kipindi kile. Binadamu wamekua jamani, hatuwezi kuishi Kama watu wa zamani waliodhani jua linazama kwenye tope...tuna technology inayoweza kutusaidia na kila kitu ambacho tulikuwa tunaona miujiza...mtume alipaa na farasi kwenda mawinguni sisi tumeenda mwezini na rocket Mara 7, that shows we don't need these ancient stories anymore. Hazina msaada wowote watu wenye dini ni wauwaji, waongo, mafisadi, wezi Wala rushwa mavitu kibao..nchi zilizoendelea Kama Korea na za western Europe zimeachana na mambo ya dini na wanaishi vizuri tu...Sasa we kaa hapa ukisubiria Yesu arudi kutoka mawinguni na dunia nzima imwone.Ugumu wa maisha na maswahibu yake ndo yanaleta Radha ya maisha
Tunagundua huyu Ni mrefu sababu mfupi yupo
Tunaona dhamani ya furaha kwa sababu huzuni ipo
Kama IQ yako imezidi 90 utanielewa
Ukisha jua kutofautisha Mungu na diniWewe unaona hivyo sio kila mtu kwa hiyo we ukiwa na maisha ya furaha utatamani huzuni ili maisha yanoge ..na urefu na ufupi ni vitu quantitative na sio qualitative Kama wema na ubaya....na wema na ubaya according to Mungu wa hizo dini ni subjective unategemea na tamaduni mbalimbali ndo maana unakuta huyu ana wake wanne huyu anakula nguruwe huyu anavaa magunia...so hatuwezi sema dini inatufanya tujue wema na ubaya. Yesu kidogo alijitahidi na kusema tuwatendee wenzetu tunachopenda kutendewa, hupendi kuuliwa ndo maana hauui. Hupendi kuibiwa ndo maana hauibi. Ila haya Mambo ya zinaa sijui mavazi sijui chakula sijui sala 56 kwa siku yote ni ya binadamu kutokana na maisha waliyotaka kuishi kipindi kile. Binadamu wamekua jamani, hatuwezi kuishi Kama watu wa zamani waliodhani jua linazama kwenye tope...tuna technology inayoweza kutusaidia na kila kitu ambacho tulikuwa tunaona miujiza...mtume alipaa na farasi kwenda mawinguni sisi tumeenda mwezini na rocket Mara 7, that shows we don't need these ancient stories anymore. Hazina msaada wowote watu wenye dini ni wauwaji, waongo, mafisadi, wezi Wala rushwa mavitu kibao..nchi zilizoendelea Kama Korea na za western Europe zimeachana na mambo ya dini na wanaishi vizuri tu...Sasa we kaa hapa ukisubiria Yesu arudi kutoka mawinguni na dunia nzima imwone.

Apes, chimpanzee na human beings?Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)
Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 [emoji1427] {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}
3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.
hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.
Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this [emoji88]
Evolution sio imani. It can be studied. Watu still wanastudy Evolution mpaka leo...Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)
Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 [emoji1427] {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}
3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.
hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.
Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this [emoji88]
Kwa hiyo why Mungu wako awe na positive tu wakati Kuna negative kwenye alichotengeneza. We ukipika chakula kibaya utakilaumu chakula au wewe ndo hujui kupika..acheni propaganda banaUkisha jua kutofautisha Mungu na dini
Then rule of opposition
Yaani Me,Ke
Positive, negative
And etc
Uje sasa tuendelee na hoja
Karibu
Karibu.
...ambayo ilihappen 6000 years ago.Story ya Adam na Eve ndiyo Creation theory,.. ambayo Mimi nimesema naamini hiyo story kuliko Evolution Theory.
Nope nope. Hio ni imperfection.... kama muumbaji aliiweka iwe hivo kwa makusudi basi hana akili. Na ndivo ivo tunavojua na kwa data zilizopo, muumbaji hana akili, literally.Ugumu wa maisha na maswahibu yake ndo yanaleta Radha ya maisha
Tunagundua huyu Ni mrefu sababu mfupi yupo
Tunaona dhamani ya furaha kwa sababu huzuni ipo
Kama IQ yako imezidi 90 utanielewa
Daah hapo umenifanya nifikirie Sana, Kwamba Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa kuwa wewe ni wa motoni na bado anakuleta hvyo hvyo uje kuungua baadae [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]Hayo mambo yana mkanganyiko mkubwa sana.
Ila in short the God displayed in religious books (bible & quran) sio Mungu mwenyewe au nguvu iliyoumba ulimwengu mzima.
Maana vitabu vinasema mungu anajua hatima ya kila mtu hata kabla hajaumbwa kama ni wa kwenda mbinguni au jehanamu na bado anakuumba na kukuleta duniani hivyo hivyo.
Ni hivi, hakuna jema wala baya machoni pa mungu wa kweli sinche they are from within na anatupenda sana tu.
Daah kweli mda mwingine ni ngumu sana kusema sisi tuna free will, imagine mtu unajikuta umezaliwa kwenye familia masikini Sana Kila siku ni shida tu, magonjwa na misiba na mnasali Sana, familia nyingine hawako serious kabisa na maswala ya Mungu na wala hawana waganga lakini Wana maisha mazuri Sana. Yesu kabla ya kusalitiwa alisema kabisa kuwa kna mtu wake wa karibu atamsaliti na mwingine atamkana, Sasa hiyo free will iko wapi kama Kila kitu tushapangiwa, Mimi labda nishapangiwa kwenye Mbinguni kwaiyo lazima ntajikuta naishi maisha ya utakatifu au nimepangiwa kuwa Kuni jehanamu ni lazima ntajikuta nafanya matendo maovu mbele za Mungu,hyo free will iko wapiKwa hiyo turudi kule kule kwenye sayansi kuwa "In every action there is equal and opposite reaction" 🥱
Lakini mkuu kama Mungu ndiye alimfanya Lucifer kuwa shetani kwa nguvu zake mwenyewe basi kazi yake itakuwa haina maana.
Kwa sababu kwa muktadha wako wewe even now Mungu ndiye anae ku-control
Utende dhambi ama usitende,uende mbinguni ama jehanam, yaani kana kwamba sisi hatuna free will tena isipokuwa Mungu ndiye anakifsnyia wewe maamuzi kwa free will zake mwenyewe.
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lakini.
Hahahahah take note broh na fikiria hata mara nne nne maana kuna mkanganyiko mkubwa sana kwenye hayo mambo.Daah hapo umenifanya nifikirie Sana, Kwamba Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa kuwa wewe ni wa motoni na bado anakuleta hvyo hvyo uje kuungua baadae [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
Haijalishi wewe utamtafasiri vp kutokana na uelewa wako ila yeye aliona iwe hivyo.Nope nope. Hio ni imperfection.... kama muumbaji aliiweka iwe hivo kwa makusudi basi hana akili. Na ndivo ivo tunavojua na kwa data zilizopo, muumbaji hana akili, literally.
Waumbaji wenye akili, tuchukulie mfano binadamu, hatutengenezi kitu chenye madhara purposely ili kusudi eti "tuelewe thamani faida"
Ina tegemea nakilaumu katika frem ipiKwa hiyo why Mungu wako awe na positive tu wakati Kuna negative kwenye alichotengeneza. We ukipika chakula kibaya utakilaumu chakula au wewe ndo hujui kupika..acheni propaganda bana
Ungetuelewesha hiyo kanuni ingependeza zaidi ili tuelewe jinsi anavyofanya kazi zake huyo munguIna tegemea nakilaumu katika frem ipi
Lakini Kuna kanuni inayofanya hayo yote yawe hivyo.
Tatizo zaidi tunaelewa uhusika wa Mungu kwetu
Ila hatuelewi the reality of spritual world.
Kwa Nini awe na kanuni ..kwa Nini atumie umbeya Kama njia ya mawasiliano. Wewe unaweza enda kwenye kichuguu ukawaambia mchwa wakuabudu watakusikiliza? Ulimwengu ni mkubwa Sana kuliko walioandika mababu zetu..tunajua nyota ni kubwa kuliko dunia na sio taa zetu.. tunajua sisi ni kama bacteria ukilinganisha ulimwengu wetu.. kwa Nini huyo Mungu ajali kuhusu bacteria wanaingiza shimo gani au wanasali wakiinama mji gani?Haijalishi wewe utamtafasiri vp kutokana na uelewa wako ila yeye aliona iwe hivyo.
Japo ni kweli kwamba Hata Mungu anatenda katika kanuni fulani
Na kanuni hizo ndo zinazotufanya tupate mashaka naye
Kwa sababu Kuna vitu anashindwa kuvifanya kutokana na kanuni zake.
Na vitu hivyo ndivyo wewe unavitafasri kama udhaifu
Spiritual world ni ipi...Kama it can't be empirically proven it's not there. Naweza sema paka wangu anaongea na Mimi nikiwa mwenyewe tu si utaniona kichaa utataka huyo paka aongee ndo uamini. Sasa Kuna tofauti gani ya kitu ambacho hakipo na spiritual world.Ina tegemea nakilaumu katika frem ipi
Lakini Kuna kanuni inayofanya hayo yote yawe hivyo.
Tatizo zaidi tunaelewa uhusika wa Mungu kwetu
Ila hatuelewi the reality of spritual world.
Nikuulize Ni teknologia gani inayoweza kuyeyusha jiwe sio kusaga no kuyeyusha.Spiritual world ni ipi...Kama it can't be empirically proven it's not there. Naweza sema paka wangu anaongea na Mimi nikiwa mwenyewe tu si utaniona kichaa utataka huyo paka aongee ndo uamini. Sasa Kuna tofauti gani ya kitu ambacho hakipo na spiritual world.
Sina idea na maisha ya bacteria hivyo siwezi wasemeaKwa Nini awe na kanuni ..kwa Nini atumie umbeya Kama njia ya mawasiliano. Wewe unaweza enda kwenye kichuguu ukawaambia mchwa wakuabudu watakusikiliza? Ulimwengu ni mkubwa Sana kuliko walioandika mababu zetu..tunajua nyota ni kubwa kuliko dunia na sio taa zetu.. tunajua sisi ni kama bacteria ukilinganisha ulimwengu wetu.. kwa Nini huyo Mungu ajali kuhusu bacteria wanaingiza shimo gani au wanasali wakiinama mji gani?