Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)
Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 [emoji1427] {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}
3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.
hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.
Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this [emoji88]