Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Kwahio dunia isingekua na vita wala magonjwa ingekua inaboa sana eh...?
Ugumu wa maisha na maswahibu yake ndo yanaleta Radha ya maisha

Tunagundua huyu Ni mrefu sababu mfupi yupo
Tunaona dhamani ya furaha kwa sababu huzuni ipo

Kama IQ yako imezidi 90 utanielewa
 
Wewe unaona hivyo sio kila mtu kwa hiyo we ukiwa na maisha ya furaha utatamani huzuni ili maisha yanoge ..na urefu na ufupi ni vitu quantitative na sio qualitative Kama wema na ubaya....na wema na ubaya according to Mungu wa hizo dini ni subjective unategemea na tamaduni mbalimbali ndo maana unakuta huyu ana wake wanne huyu anakula nguruwe huyu anavaa magunia...so hatuwezi sema dini inatufanya tujue wema na ubaya. Yesu kidogo alijitahidi na kusema tuwatendee wenzetu tunachopenda kutendewa, hupendi kuuliwa ndo maana hauui. Hupendi kuibiwa ndo maana hauibi. Ila haya Mambo ya zinaa sijui mavazi sijui chakula sijui sala 56 kwa siku yote ni ya binadamu kutokana na maisha waliyotaka kuishi kipindi kile. Binadamu wamekua jamani, hatuwezi kuishi Kama watu wa zamani waliodhani jua linazama kwenye tope...tuna technology inayoweza kutusaidia na kila kitu ambacho tulikuwa tunaona miujiza...mtume alipaa na farasi kwenda mawinguni sisi tumeenda mwezini na rocket Mara 7, that shows we don't need these ancient stories anymore. Hazina msaada wowote watu wenye dini ni wauwaji, waongo, mafisadi, wezi Wala rushwa mavitu kibao..nchi zilizoendelea Kama Korea na za western Europe zimeachana na mambo ya dini na wanaishi vizuri tu...Sasa we kaa hapa ukisubiria Yesu arudi kutoka mawinguni na dunia nzima imwone.
 
Ukisha jua kutofautisha Mungu na dini

Then rule of opposition
Yaani Me,Ke
Positive, negative
And etc

Uje sasa tuendelee na hoja

Karibu

Karibu.
 
Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)

Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 [emoji1427] {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}

3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.

hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.

Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this [emoji88]
Apes, chimpanzee na human beings?
Chimpanzee na human being ni apes... viumbe wote walio family ya Hominidae ni apes. Ulisoma biology ya sec kweli ww? Kama hukusoma basi members wake ni orangutan, bonobos, chimps, gorillas and humans. Hawa ndo great APES.

Tuanzie hapo...
 
Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)

Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 [emoji1427] {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}

3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.

hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.

Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this [emoji88]
Evolution sio imani. It can be studied. Watu still wanastudy Evolution mpaka leo...

Au labda sielew unamaanisha nn unaposema "imani". Ila kama unamaanisha "faith" hivo hapa... Evolution sio faith
 
Ukisha jua kutofautisha Mungu na dini

Then rule of opposition
Yaani Me,Ke
Positive, negative
And etc

Uje sasa tuendelee na hoja

Karibu

Karibu.
Kwa hiyo why Mungu wako awe na positive tu wakati Kuna negative kwenye alichotengeneza. We ukipika chakula kibaya utakilaumu chakula au wewe ndo hujui kupika..acheni propaganda bana
 
Story ya Adam na Eve ndiyo Creation theory,.. ambayo Mimi nimesema naamini hiyo story kuliko Evolution Theory.
...ambayo ilihappen 6000 years ago.
Ukifuatilia vitabu vyenye story za Adam na Eva ukikadiria miaka utaona ni takriban miaka 6000 iliopita. Je ni kweli uhai, viumbe vyote na dunia viliumbwa miaka 6000 iliopita?
 
Ugumu wa maisha na maswahibu yake ndo yanaleta Radha ya maisha

Tunagundua huyu Ni mrefu sababu mfupi yupo
Tunaona dhamani ya furaha kwa sababu huzuni ipo

Kama IQ yako imezidi 90 utanielewa
Nope nope. Hio ni imperfection.... kama muumbaji aliiweka iwe hivo kwa makusudi basi hana akili. Na ndivo ivo tunavojua na kwa data zilizopo, muumbaji hana akili, literally.

Waumbaji wenye akili, tuchukulie mfano binadamu, hatutengenezi kitu chenye madhara purposely ili kusudi eti "tuelewe thamani faida"
 
Hayo mambo yana mkanganyiko mkubwa sana.

Ila in short the God displayed in religious books (bible & quran) sio Mungu mwenyewe au nguvu iliyoumba ulimwengu mzima.

Maana vitabu vinasema mungu anajua hatima ya kila mtu hata kabla hajaumbwa kama ni wa kwenda mbinguni au jehanamu na bado anakuumba na kukuleta duniani hivyo hivyo.

Ni hivi, hakuna jema wala baya machoni pa mungu wa kweli sinche they are from within na anatupenda sana tu.
Daah hapo umenifanya nifikirie Sana, Kwamba Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa kuwa wewe ni wa motoni na bado anakuleta hvyo hvyo uje kuungua baadae [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
 
Kwa hiyo turudi kule kule kwenye sayansi kuwa "In every action there is equal and opposite reaction" 🥱

Lakini mkuu kama Mungu ndiye alimfanya Lucifer kuwa shetani kwa nguvu zake mwenyewe basi kazi yake itakuwa haina maana.

Kwa sababu kwa muktadha wako wewe even now Mungu ndiye anae ku-control

Utende dhambi ama usitende,uende mbinguni ama jehanam, yaani kana kwamba sisi hatuna free will tena isipokuwa Mungu ndiye anakifsnyia wewe maamuzi kwa free will zake mwenyewe.

Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lakini.
Daah kweli mda mwingine ni ngumu sana kusema sisi tuna free will, imagine mtu unajikuta umezaliwa kwenye familia masikini Sana Kila siku ni shida tu, magonjwa na misiba na mnasali Sana, familia nyingine hawako serious kabisa na maswala ya Mungu na wala hawana waganga lakini Wana maisha mazuri Sana. Yesu kabla ya kusalitiwa alisema kabisa kuwa kna mtu wake wa karibu atamsaliti na mwingine atamkana, Sasa hiyo free will iko wapi kama Kila kitu tushapangiwa, Mimi labda nishapangiwa kwenye Mbinguni kwaiyo lazima ntajikuta naishi maisha ya utakatifu au nimepangiwa kuwa Kuni jehanamu ni lazima ntajikuta nafanya matendo maovu mbele za Mungu,hyo free will iko wapi
 
Daah hapo umenifanya nifikirie Sana, Kwamba Mungu anakujua hata kabla hujazaliwa kuwa wewe ni wa motoni na bado anakuleta hvyo hvyo uje kuungua baadae [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
Hahahahah take note broh na fikiria hata mara nne nne maana kuna mkanganyiko mkubwa sana kwenye hayo mambo.
 
Nope nope. Hio ni imperfection.... kama muumbaji aliiweka iwe hivo kwa makusudi basi hana akili. Na ndivo ivo tunavojua na kwa data zilizopo, muumbaji hana akili, literally.

Waumbaji wenye akili, tuchukulie mfano binadamu, hatutengenezi kitu chenye madhara purposely ili kusudi eti "tuelewe thamani faida"
Haijalishi wewe utamtafasiri vp kutokana na uelewa wako ila yeye aliona iwe hivyo.

Japo ni kweli kwamba Hata Mungu anatenda katika kanuni fulani

Na kanuni hizo ndo zinazotufanya tupate mashaka naye

Kwa sababu Kuna vitu anashindwa kuvifanya kutokana na kanuni zake.

Na vitu hivyo ndivyo wewe unavitafasri kama udhaifu
 
Kwa hiyo why Mungu wako awe na positive tu wakati Kuna negative kwenye alichotengeneza. We ukipika chakula kibaya utakilaumu chakula au wewe ndo hujui kupika..acheni propaganda bana
Ina tegemea nakilaumu katika frem ipi

Lakini Kuna kanuni inayofanya hayo yote yawe hivyo.

Tatizo zaidi tunaelewa uhusika wa Mungu kwetu

Ila hatuelewi the reality of spritual world.
 
Ungetuelewesha hiyo kanuni ingependeza zaidi ili tuelewe jinsi anavyofanya kazi zake huyo mungu
 
Haijalishi wewe utamtafasiri vp kutokana na uelewa wako ila yeye aliona iwe hivyo.

Japo ni kweli kwamba Hata Mungu anatenda katika kanuni fulani

Na kanuni hizo ndo zinazotufanya tupate mashaka naye

Kwa sababu Kuna vitu anashindwa kuvifanya kutokana na kanuni zake.

Na vitu hivyo ndivyo wewe unavitafasri kama udhaifu
Kwa Nini awe na kanuni ..kwa Nini atumie umbeya Kama njia ya mawasiliano. Wewe unaweza enda kwenye kichuguu ukawaambia mchwa wakuabudu watakusikiliza? Ulimwengu ni mkubwa Sana kuliko walioandika mababu zetu..tunajua nyota ni kubwa kuliko dunia na sio taa zetu.. tunajua sisi ni kama bacteria ukilinganisha ulimwengu wetu.. kwa Nini huyo Mungu ajali kuhusu bacteria wanaingiza shimo gani au wanasali wakiinama mji gani?
 
Ina tegemea nakilaumu katika frem ipi

Lakini Kuna kanuni inayofanya hayo yote yawe hivyo.

Tatizo zaidi tunaelewa uhusika wa Mungu kwetu

Ila hatuelewi the reality of spritual world.
Spiritual world ni ipi...Kama it can't be empirically proven it's not there. Naweza sema paka wangu anaongea na Mimi nikiwa mwenyewe tu si utaniona kichaa utataka huyo paka aongee ndo uamini. Sasa Kuna tofauti gani ya kitu ambacho hakipo na spiritual world.
 
Nikuulize Ni teknologia gani inayoweza kuyeyusha jiwe sio kusaga no kuyeyusha.
 
Kwa Nini awe na kanuni ..kwa Nini atumie umbeya Kama njia ya mawasiliano. Wewe unaweza enda kwenye kichuguu ukawaambia mchwa wakuabudu watakusikiliza? Ulimwengu ni mkubwa Sana kuliko walioandika mababu zetu..tunajua nyota ni kubwa kuliko dunia na sio taa zetu.. tunajua sisi ni kama bacteria ukilinganisha ulimwengu wetu.. kwa Nini huyo Mungu ajali kuhusu bacteria wanaingiza shimo gani au wanasali wakiinama mji gani?
Sina idea na maisha ya bacteria hivyo siwezi wasemea

Ana kanuni kwa sababu anatakiwa kuwa na kanuni.

Umbea ndio Nini??
 
Back
Top Bottom