Kwanini usikilize conspiracy theorists wakati unaweza ku access Qur'an mwenyewe, na kuona kama yanayosemwa ni kweli au uzushi tu.Hujakutana na conspiracy theorists ww...
It's absurd...
Kuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.Okay.
Quran inasemaje kuhusu uumbaji... viumbe wangapi walianza kuumbwa kabla ya binadamu na kwa interval ya muda upi?
Sijaifuatilia so sijui ..ehe ur point?Nikuulize Ni teknologia gani inayoweza kuyeyusha jiwe sio kusaga no kuyeyusha.
Ndo hivyo sheria zake hizo zinaonekana zimetungwa na tamaduni fulani na makabila ya zamani sio sheria ambazo muumba wa ulimwengu mzima wenye nyota billion 60 angekuwa nazo. Sheria Kama za uzinzi sijui siku ya sabato sijui kuvaa nguo za material sawa kutokula samaki aina fulani inaonekana kabisa wazi kwamba hizi sheria Ni za ancient tribe ya desert huko na sio sheria za Mungu na zimesambaa kwa umbeya na mwishowe kwenye vitabu ambavyo hata vitabu venyewe vimechakachukuliwa kwa manufaa binafsi ya watawala kipindi hichoSina idea na maisha ya bacteria hivyo siwezi wasemea
Ana kanuni kwa sababu anatakiwa kuwa na kanuni.
Umbea ndio Nini??
Kwa hiyo mpo serious mnaamini majiniKuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.
Quran inaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, na kuwa viliumbwa kabla ya binadamu. Lakini pia Quran inataja uumbaji wa malaika, majini na inaelezea kuwa viumbe hivyo viliumbwa kabla ya binadamu.
NB: Quran haijaweka interval ya muda kati ya uumbaji wa viumbe hivyo.
Kwa Nini unatumia black n white fallacy.. kwani lazma kuwe na choice mbili by chance from nowhere na huyo Mungu. Ni sawa nakuambia njoo nikupige ukikataa nakubaka...Sasa ndo Nini unafanya. The universe ilikuwepo na itaendelea kuwepo we utakuja na utaiacha na wengine watakuja na kuiacha.. binadamu wenyewe tumeukuta na tutauacha.. ulimwengu haupo kwa ajili yetu na Wala haujali fikra zako sawa.Sawa, Wewe endelea kuamini kwamba Dunia na viumbe wote wametokea tu by chance from nowhere.
Then sisi wengine acha tuamini kwenye Hiyo uliyoiita imagination.
Hakuna black n white fallacy,.... Wewe si ulikiri mwenyewe kwamba ni Muumini wa Evolution Theory.?Kwa Nini unatumia black n white fallacy.. kwani lazma kuwe na choice mbili by chance from nowhere na huyo Mungu. Ni sawa nakuambia njoo nikupige ukikataa nakubaka...Sasa ndo Nini unafanya. The universe ilikuwepo na itaendelea kuwepo we utakuja na utaiacha na wengine watakuja na kuiacha.. binadamu wenyewe tumeukuta na tutauacha.. ulimwengu haupo kwa ajili yetu na Wala haujali fikra zako sawa.
Yap naamini majini yapo, naamini uwepo wa Malaika pia.Kwa hiyo mpo serious mnaamini majini
Aya sawa.Kuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.
Quran inaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, na kuwa viliumbwa kabla ya binadamu. Lakini pia Quran inataja uumbaji wa malaika, majini na inaelezea kuwa viumbe hivyo viliumbwa kabla ya binadamu.
NB: Quran haijaweka interval ya muda kati ya uumbaji wa viumbe hivyo.
Just heating [emoji2377]..Nikuulize Ni teknologia gani inayoweza kuyeyusha jiwe sio kusaga no kuyeyusha.
Evolution theory haielezei beginning of the universe inaelezea development of species ..ndo maana nasema watu wengi wanaokataa evolution hawaijui hata ni Nini ..skia kasoma evolution vizuri utaelewa sawaHakuna black n white fallacy,.... Wewe si ulikiri mwenyewe kwamba ni Muumini wa Evolution Theory.?
Sasa Evolution Theory si ndiyo inasema, Ulimwengu na viumbe vimetokea tu by chance.
So, hapo sijaleta fallacy yoyote.... It's only the truth.
Labda useme kwamba hata hiyo Evolution Theory kwa sasa huitaki tena.
Una ushahidi gani kwamba majini na malaika wapo?Yap naamini majini yapo, naamini uwepo wa Malaika pia.
Life nature is all about competence and competitionHapo naona unamfikiria Mungu kama binadamu.
Ila kwa Mungu dunia iko sawa kabisa na anavyotaka yeye, ila wewe ndo unafikiri hayo yote yaliyo tokea yako nje ya uwezo wake.
Ngoja nikuulize
1.Kwa nini tunaweka watu 22 uwanjani washindane kuingiza mpira golini kwa kutumia miguu.
Mbona asiingia tu mtu mmoja akabeba mpira na mkono akaugiza golini?
2.Umewahi kucheza gemu rahisi? Lilikua linaboa eeeh?
Mpaka happy Kuna kitu umegundua au bado.
Mkuu mbona inaeleweka simply kabisa.Evolution theory haielezei beginning of the universe inaelezea development of species ..ndo maana nasema watu wengi wanaokataa evolution hawaijui hata ni Nini ..skia kasoma evolution vizuri utaelewa sawa
Hailezei kuhusu viumbe kutoweka.Aya sawa.
Kwahio hawa viumbe waliokuepo zaman wakatoeka inasema kitu chochote kuhusu wao? Inaeleza kwann viumbe wengine walitoeka halafu wakatokea wengine baada ya hao kutoweka?
Ushahidi nilionao juu ya uwepo wa viumbe hao, ni ushahidi wa kiimani... Imani currently huwezi kuthibitisha.Una ushahidi gani kwamba majini na malaika wapo?
Sasa ndo hayo majibu sayansi inakuja nayo, mnapinga.Hailezei kuhusu viumbe kutoweka.
Hahh Sayansi imetoa uthibitisho gani Mkuu.Sasa ndo hayo majibu sayansi inakuja nayo, mnapinga.
Sayansi inakupa uthibitisho, mnapinga