Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Okay.
Quran inasemaje kuhusu uumbaji... viumbe wangapi walianza kuumbwa kabla ya binadamu na kwa interval ya muda upi?
Kuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.

Quran inaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, na kuwa viliumbwa kabla ya binadamu. Lakini pia Quran inataja uumbaji wa malaika, majini na inaelezea kuwa viumbe hivyo viliumbwa kabla ya binadamu.

NB: Quran haijaweka interval ya muda kati ya uumbaji wa viumbe hivyo.
 
Sina idea na maisha ya bacteria hivyo siwezi wasemea

Ana kanuni kwa sababu anatakiwa kuwa na kanuni.

Umbea ndio Nini??
Ndo hivyo sheria zake hizo zinaonekana zimetungwa na tamaduni fulani na makabila ya zamani sio sheria ambazo muumba wa ulimwengu mzima wenye nyota billion 60 angekuwa nazo. Sheria Kama za uzinzi sijui siku ya sabato sijui kuvaa nguo za material sawa kutokula samaki aina fulani inaonekana kabisa wazi kwamba hizi sheria Ni za ancient tribe ya desert huko na sio sheria za Mungu na zimesambaa kwa umbeya na mwishowe kwenye vitabu ambavyo hata vitabu venyewe vimechakachukuliwa kwa manufaa binafsi ya watawala kipindi hicho
 
Kuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.

Quran inaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, na kuwa viliumbwa kabla ya binadamu. Lakini pia Quran inataja uumbaji wa malaika, majini na inaelezea kuwa viumbe hivyo viliumbwa kabla ya binadamu.

NB: Quran haijaweka interval ya muda kati ya uumbaji wa viumbe hivyo.
Kwa hiyo mpo serious mnaamini majini
 
Sawa, Wewe endelea kuamini kwamba Dunia na viumbe wote wametokea tu by chance from nowhere.

Then sisi wengine acha tuamini kwenye Hiyo uliyoiita imagination.
Kwa Nini unatumia black n white fallacy.. kwani lazma kuwe na choice mbili by chance from nowhere na huyo Mungu. Ni sawa nakuambia njoo nikupige ukikataa nakubaka...Sasa ndo Nini unafanya. The universe ilikuwepo na itaendelea kuwepo we utakuja na utaiacha na wengine watakuja na kuiacha.. binadamu wenyewe tumeukuta na tutauacha.. ulimwengu haupo kwa ajili yetu na Wala haujali fikra zako sawa.
 
Hakuna black n white fallacy,.... Wewe si ulikiri mwenyewe kwamba ni Muumini wa Evolution Theory.?

Sasa Evolution Theory si ndiyo inasema, Ulimwengu na viumbe vimetokea tu by chance.

So, hapo sijaleta fallacy yoyote.... It's only the truth.

Labda useme kwamba hata hiyo Evolution Theory kwa sasa huitaki tena.
 
Kuhusu idadi ya viumbe vilivyoumbwa kabla ya binadamu, Quran haielezi idadi kamili ya viumbe hivyo. Bali inaelezea kuwa Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wengi sana, na inaelezea kuwa viumbe hivyo ni vya aina mbalimbali.

Quran inaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, na kuwa viliumbwa kabla ya binadamu. Lakini pia Quran inataja uumbaji wa malaika, majini na inaelezea kuwa viumbe hivyo viliumbwa kabla ya binadamu.

NB: Quran haijaweka interval ya muda kati ya uumbaji wa viumbe hivyo.
Aya sawa.
Kwahio hawa viumbe waliokuepo zaman wakatoeka inasema kitu chochote kuhusu wao? Inaeleza kwann viumbe wengine walitoeka halafu wakatokea wengine baada ya hao kutoweka?
 
Hakuna black n white fallacy,.... Wewe si ulikiri mwenyewe kwamba ni Muumini wa Evolution Theory.?

Sasa Evolution Theory si ndiyo inasema, Ulimwengu na viumbe vimetokea tu by chance.

So, hapo sijaleta fallacy yoyote.... It's only the truth.

Labda useme kwamba hata hiyo Evolution Theory kwa sasa huitaki tena.
Evolution theory haielezei beginning of the universe inaelezea development of species ..ndo maana nasema watu wengi wanaokataa evolution hawaijui hata ni Nini ..skia kasoma evolution vizuri utaelewa sawa
 
Hapo naona unamfikiria Mungu kama binadamu.

Ila kwa Mungu dunia iko sawa kabisa na anavyotaka yeye, ila wewe ndo unafikiri hayo yote yaliyo tokea yako nje ya uwezo wake.

Ngoja nikuulize

1.Kwa nini tunaweka watu 22 uwanjani washindane kuingiza mpira golini kwa kutumia miguu.

Mbona asiingia tu mtu mmoja akabeba mpira na mkono akaugiza golini?

2.Umewahi kucheza gemu rahisi? Lilikua linaboa eeeh?

Mpaka happy Kuna kitu umegundua au bado.
Life nature is all about competence and competition
 
Evolution theory haielezei beginning of the universe inaelezea development of species ..ndo maana nasema watu wengi wanaokataa evolution hawaijui hata ni Nini ..skia kasoma evolution vizuri utaelewa sawa
Mkuu mbona inaeleweka simply kabisa.

Ipo hivi ⤵️
1. Bing bang theory:- inaelezea Origin of the Universe...{According to this theory, the universe began as a singularity, an infinitely hot and dense point that contained all the matter and energy in the universe. Then, around 13.8 billion years ago, the singularity suddenly expanded and began to cool and expand at an incredibly rapid rate in a process known as inflation}
Bing bang kwa mujibu wa Sayansi ni kwamba imetokea tu accidentally by chance.

2. Evolution Theory:- Hii inaelezea Origin of Species inaelezea kwamba Viumbe hai wote wanatokana na ANCESTOR MMOJA{It proposes that all living organisms have descended from a common ancestor through a process of gradual and continuous change over millions of years}

Mpaka hapo sidhani kama kuna changamoto yoyote kwenye kuzielewa hizo Theories mbili.......

Je, unaamini kwamba Viumbe hai wote duniani wametokana na Ancestor mmoja kama isemavyo nadharia ya Evolution?!
 
Una ushahidi gani kwamba majini na malaika wapo?
Ushahidi nilionao juu ya uwepo wa viumbe hao, ni ushahidi wa kiimani... Imani currently huwezi kuthibitisha.

Muumini anaamini kwenye kitu kinachoitwa "Ghaib"

Ghaib ni Nini..."refers to the unseen or hidden aspects of reality that cannot be directly perceived by human senses or empirical observation. The term is often translated as "the unseen".
 
Sasa ndo hayo majibu sayansi inakuja nayo, mnapinga.
Sayansi inakupa uthibitisho, mnapinga
Hahh Sayansi imetoa uthibitisho gani Mkuu.

Nikikuambia uonyeshe uthibitisho wa Ancestor ambae Living Organisms wote tumetokana naye tutakesha hapa...
 
Back
Top Bottom