SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Naona watu mnanijibu na kufuta post...😂 Confidence is capital my friends
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeamua kuwa mbishi tu,.... Lakini Evolution Theory ndiyo inasema kwamba "Man originated from primates"Dogo mbona unakimbilia sokwe...hamna mtu Ashawahi kuwa sokwe...hamna mtu kasema hivyo...Ila Yale mafuvu hayafanani na sokwe au binadamu ndo inaishwa tumetoka kwenye family moja. DNA zetu zinafanana zaidi ya asilimia 50% unataka ushahidi gani mwingine. Sasa wewe niambie kwa Nini una amini majini usiamini vampires, fairies, dragons, leprechauns, ponies, vyote hivyo ..why umechagua majini tu..ni coz la kitabu chako tu...Kuna tofauti gani na kitu ambacho hakiwezi kuwa sensed na kitu ambacho hakipo..usisingizie technology sijui blackhole saa hivi tunatechnology ya kuachanisha electron..na Kuna technology ya kuona nyota zipo ma million ya ma billion ya kilometers kwa Nini jini lako tusilione, Lina ukubwa gani Lina udogo Gani lina umbali gani..na Kama ni Kama Gas, gas inauzito inajaa kwenye pipa...haya jaza majini kwenye mtungo wako afu uniletee acheni dhana za mababu kwanza.. okay kisa hujui binadamu katokea wapi au hutaki kuamini kitu ambacho Ni fact na unafundishwa Hadi mashuleni we shuleni unafundishwa majini.. unadhani hizo story hazijulikani au..lakini hawakufundishi coz Ni story za kitamaduni tu mwingine ana pepo sijui jini sijui malaika sijui bikra .lakini Sayansi haibagui haijirukiruki.. 2+2=4, hii Ni kwa mwarabu kwa mzungu kwa mwafrica ..ukipiga nyundo goti litasogea...Sayansi works religion lies na inatishia watu kuamini au mtaaungua huo moto hujauona unaishi kioga tu
Hahhh, unajua kwanini nimefuta... Kuna madai kuhusu Qur'an uliyatoa nikataka nikujibu ila nikaona haina haja.Naona watu mnanijibu na kufuta post...😂 Confidence is capital my friends
Sio sokwe...elewa sio sokwe sio chimpanzee, sio gorilla sio nyani, tumetoka from the same ancestor... ulisema tumetoka kwa nyani unakosea ndo mnaleta maswali ya mbona bado Kuna nyani na hawageuki binadamu...hicho kiumbe sijui homo habilis sijui erectus hakipo now na hakifanani na chochote duniani... unaelewa..ni wewe huyo million of years.Hapa umeamua kuwa mbishi tu,.... Lakini Evolution Theory ndiyo inasema kwamba "Man originated from primates"
According to the modern scientific theory of evolution, human beings are believed to have evolved from earlier primates over the course of millions of years. This process is known as human evolution, and it is driven by the principles of natural selection, genetic variation, and mutation.
The earliest known human-like species, or hominins, lived in Africa around 7 million years ago. Over time, these hominins evolved and diversified, with some lineages eventually leading to modern humans. Some notable examples of extinct hominin species include Australopithecus afarensis, Homo habilis, and Homo erectus.
The most recent common ancestor (MRCA) of humans and chimpanzees is believed to have lived between 6 and 8 million years ago. From this point onwards, the human lineage and the chimpanzee lineage diverged, with each evolving independently.
Modern humans, or Homo sapiens, are believed to have emerged in Africa around 300,000 years ago. From there, our species spread throughout the world, eventually replacing other hominin species such as Neanderthals and Denisovans.
Unaposema hamna Mtu kasema hivyo hayo ni Maneno yako lakini Evolution ndiyo ishasema hivyo... Labda useme ni uongo!
NB: Zingatia sana neno "It's believed" ambalo tayari linamaanisha hiyo theory ni Imani tu!
Haya niambie kuhusu mwezi kuvunjwa na kurudishwa, viumbe vyote kuumbwa male n female(Kuna pathogenic species hawana jinsia), jua kuzama kwenye matope, shahawa kutokea uti wa mgongo. Mbingu Saba na dunia Saba, nyota zinasaidia kuondoa majini, niendelee au niache...haya yaukweli haya kwa akili zako timamuHahhh, unajua kwanini nimefuta... Kuna madai kuhusu Qur'an uliyatoa nikataka nikujibu ila nikaona haina haja.
Kuna muda hata kukaa kimya ni jibu.
Labda tu nikuambie kwamba Qur'an ipo consistent, No versions, No contradictions, Scientific accuracy 100%,
Memorized by childrens and Elders worldwide.
Ndo maana nilikuambia usiongee kitu kwa ushabiki ongea facts.Haya niambie kuhusu mwezi kuvunjwa na kurudishwa, viumbe vyote kuumbwa male n female(Kuna pathogenic species hawana jinsia), jua kuzama kwenye matope, shahawa kutokea uti wa mgongo. Mbingu Saba na dunia Saba, nyota zinasaidia kuondoa majini, niendelee au niache...haya yaukweli haya kwa akili zako timamu
Acha ubishi usio na faida Mkuu,.... Kwani hiyo theory umeipropose wewe? Mpaka utie Maneno yako?Sio sokwe...elewa sio sokwe sio chimpanzee, sio gorilla sio nyani, tumetoka from the same ancestor... ulisema tumetoka kwa nyani unakosea ndo mnaleta maswali ya mbona bado Kuna nyani na hawageuki binadamu...hicho kiumbe sijui homo habilis sijui erectus hakipo now na hakifanani na chochote duniani... unaelewa..ni wewe huyo million of years.
Sio sokwe bana. Nyie mnaopinga hii theory ndio hamuielewi hata kdg...Acha ubishi usio na faida Mkuu,.... Kwani hiyo theory umeipropose wewe? Mpaka utie Maneno yako?
Waliopropose wanasema hivi[emoji3593]
human beings are believed to have evolved from earlier primates over the course of millions of years.
Unasema tumetoka from the same ancestor, huyo ancestor unamjua[emoji3480] au umeamini tu.
Ukiambiwa utuonyeshe uthibitisho wa huyo ancestor, utaweza?
Hata kwenye curriculum zetu tunafundishana eti Asili ya Mtu ni Sokwe. Au hujui Hilo?
NB: Ukituletea uthibitisho wa huyo ancestor wetu na sehemu alipotokea,, ambae kwa mujibu wa Sayansi ni Early primate,.... Ntakuamini leo leo.
Hayo madai yako yote yanatokana na uchache wako wa elimu kuhusu Qur'an na nje ya Qur'an.Haya niambie kuhusu mwezi kuvunjwa na kurudishwa, viumbe vyote kuumbwa male n female(Kuna pathogenic species hawana jinsia), jua kuzama kwenye matope, shahawa kutokea uti wa mgongo. Mbingu Saba na dunia Saba, nyota zinasaidia kuondoa majini, niendelee au niache...haya yaukweli haya kwa akili zako timamu
Nishawahi kukuomba uthibitisho wa huyo ancestor,.... Unakumbuka?Sio sokwe bana. Nyie mnaopinga hii theory ndio hamuielewi hata kdg...
Hatujatokana na sokwe bali same ancestors. Kwa wananyama walio hai mpaka leo, Binadamu wa sasa tunashare DNA kwa ukaribu zaid na chimpanzee. Sio kwamba binadamu tuliwahi kua chimpanzee... hapana.
Evidence ziko huko museums, oldivai gorge anyone? [emoji2377]
Halafu kama hujui na binadamu nae ni primate.
Jamani eee earlier primates na sokwe ni vitu ishirini tofauti, acha ubishi usio na tija...sio sokwe..ni earlier primates, ape ancestors..sio sokwe sio chimpanzee jamani. Ushahidi ni mafuvu zaidi ya maelfu yaliyofukuliwa. Sasa na wewe nikuulize ushahidi wa sijui majini sijui maiblis sijui mti wa mema na mabaya utasema hoo kitabu changu sijui mtume huo sio ushahidi hizi Ni story. We ukitaka nenda kasomee archaeology nenda kachimbe mafuvu usomee carbon dating uone jinsi wenzake wanavyojua history sio unabisha Hamna evidence wakati hujaenda kuangalia museum ya hata pale Olduvai...sawa kaka plus evolution or Creation zote hatujui na kutokujua haimaanishi tuamini story za waarabu tuwaache wahindi. Tuache za kwetu, tuache za vikings.Acha ubishi usio na faida Mkuu,.... Kwani hiyo theory umeipropose wewe? Mpaka utie Maneno yako?
Waliopropose wanasema hivi⤵️
human beings are believed to have evolved from earlier primates over the course of millions of years.
Unasema tumetoka from the same ancestor, huyo ancestor unamjua⁉️ au umeamini tu.
Ukiambiwa utuonyeshe uthibitisho wa huyo ancestor, utaweza?
Hata kwenye curriculum zetu tunafundishana eti Asili ya Mtu ni Sokwe. Au hujui Hilo?
NB: Ukituletea uthibitisho wa huyo ancestor wetu na sehemu alipotokea,, ambae kwa mujibu wa Sayansi ni Early primate,.... Ntakuamini leo leo.
Nenda Olduvai afu ukirudi tupe ushahidi wowote wa ibilisi na majini yako ya Moto ambao hawaonekani Ila wapoNishawahi kukuomba uthibitisho wa huyo ancestor,.... Unakumbuka?
Ulifanya hivyo?, au uliingia mitini
Ni Sokwe,Sio sokwe bana. Nyie mnaopinga hii theory ndio hamuielewi hata kdg...
Hatujatokana na sokwe bali same ancestors. Kwa wananyama walio hai mpaka leo, Binadamu wa sasa tunashare DNA kwa ukaribu zaid na chimpanzee. Sio kwamba binadamu tuliwahi kua chimpanzee... hapana.
Evidence ziko huko museums, oldivai gorge anyone? [emoji2377]
Halafu kama hujui na binadamu nae ni primate.
Yap hapo umefika pazuri sasa......sio sokwe..ni earlier primates, ape ancestors..sio sokwe sio chimpanzee jamani.
1. Nionyeshe Sayansi iliyokubali kwamba moon ilisplit by Muhammad na kurudi (tuma article ya Wikipedia na not any other sources)Hayo madai yako yote yanatokana na uchache wako wa elimu kuhusu Qur'an na nje ya Qur'an.
1. Kuhusu mwezi.... Hata Wanasayansi wameelezea hyo scenario, find your time read.
2. Kuhusu jinsia Qur'an inasema viumbe wengi wameumbwa in pairs male& female,...haijasema viumbe wote.....Qur'an inasema hivi⤵️
Surah Ya-Sin (36:36), it says: "Glory to Allah, who created in pairs all things that the earth produces, as well as their own (human) kind and (other) things of which they have no knowledge."
Zingatia hapo na other things of Which they have no knowledge.....
3. Qur'an haisemi jua linazama kwenye matope..... Jielimishe kuhusu hilo au endelea kuamini uongo.
Bali Qur'an inasema hivi kuhusu Jua ⤵️
"And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming." [Qur'an 21:33]
4. Kuhusu Sperms kutokea kwenye ribs& backbone ni kweli kama Qur'an inavyosema Production ya Sperms haianzii kwenye Testicles, Mkuu,... Maana ipo hivi kwa mujibu wa Sayansi Sperms production haianzii sehemu moja ya mwili wa binadamu, bali utofauti wa Sayansi na Qur'an ni kwamba Qur'an imetaja ribs& backbone ila Sayansi yenyewe haijataja, sasa hapo hujaelewa kitu gani....
Kwa mujibu wa Sayansi,Shahawa hazizalishwi wala kuwa stored kwenye sehemu moja sasa unashangaa Nini Qur'an kutaja ribs&backbone? ....soma chini hapo Sayansi inavyosema ⤵️
The semen is not produced or stored in a single location. Semen is actually composed of sperm and various fluids produced by the seminal vesicles, prostate gland, and bulbourethral glands. During ejaculation, the semen is expelled from the body through the penis.
5. Kuhusu Mbingu Saba yes(Lakini Dunia Saba No Qur'an haina kitu kama hicho❌), au unataka kubisha kuhusu Mbingu Saba? Wakati hata elimu kuhusu hizo mbingu zilivyo huna,
6. Nyota zinasaidia kuondoa majini No❌ hakuna hicho kitu kwenye Qur'an....... Labda uweke hoja yako vizuri.
Kimsingi ni kwamba Ili ujifunze vitu zaidi kuwa positive na humble kwamba kitu fulani sina elimu nacho.... Hivi unafahamu kwamba mpaka karne hii ya 21, Elimu yetu binadamu kuhusu bahari ni chini ya 5% ?
Sasa kama bahari tu ujuzi wetu upo hivyo, how about Mbingu?
Be humble jifunze zaidi, watu wanasema elimu ni bahari lakini Mimi naona ni zaidi ya bahari 🔥☠️🎭😅.......... Ukitaka ujue elimu ni bahari kuna msemo unasema "Hakuna ajuaye kesho" lakini kwenye uchumi hiyo kauli inatakiwa tuweke "Under Ceteris paribus" Maana duniani kuna watu wanaweza mpaka kuchungulia kesho ila kwasababu unaleta ujuaji utabisha🙌🏼
Wewe nenda Olduvai nikikuambia picha ya mtume unipe utanipa we vipi, Ila si tunajua alikuwepo ama ..mbona unabishana Kama primary student eti picha...una picha ya dinosaur wewe original huna, kwa hiyo mifupa Ile ni feki au...unasema kuona ni kuamini lakini 190% ya vitu kwenye Quran yako ni unscientific na unistorical lakini unaamini na hujaona, naomba video ya mwezi kugawanyishwa bac nikuamini.Yap hapo umefika pazuri sasa......
Naomba uthibitisho wa picha ya hao primates, ape ancestors Ili tuone walivyo phenotype Yao inaendana na Mtu?
Nafikiri swali lako linaweza kuwa ni rahisi sana ukiacha kuwaza nje ya kile unachokiamini kwa mfano, unaonaje kama sisi Leo tungekuwa tunaishi bila kufanya kazi yaani tuamke asubuhi, tuchume sijui embe then unakula unalala maisha yangekuwa hayana ladha bila shaka. Alafu kwann haujawahi kujiuliza kuna ndio na sio kuna juu na chini, kuna bahar na nchi kavu Luna milima na tambarare, kuna zuri na baya, nk... Kwa mfumo huu naona kabisa Mungu aliruhusu hayo yote yatokee ili tuweze kutofautisha vitu,
Mm hapa kukimbia mitini? Labda sikuona hili swali...Nishawahi kukuomba uthibitisho wa huyo ancestor,.... Unakumbuka?
Ulifanya hivyo?, au uliingia mitini
Hata binadamu nae ni sokwe au ape kwa kiingereza.Ni Sokwe,
Labda useme according to you & not evolution theory.... Kwani Primates,Ape ni Nini?
Jana nilikuambia ulete uthibitisho wa Mtu zamani alikua na mkia.... Ukaingia mitini
umenifikirisha mkuu!Hapo naona unamfikiria Mungu kama binadamu.
Ila kwa Mungu dunia iko sawa kabisa na anavyotaka yeye, ila wewe ndo unafikiri hayo yote yaliyo tokea yako nje ya uwezo wake.
Ngoja nikuulize
1.Kwa nini tunaweka watu 22 uwanjani washindane kuingiza mpira golini kwa kutumia miguu.
Mbona asiingia tu mtu mmoja akabeba mpira na mkono akaugiza golini?
2.Umewahi kucheza gemu rahisi? Lilikua linaboa eeeh?
Mpaka happy Kuna kitu umegundua au bado.