Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteh kwa ufafanuziMkuu hilo swali i've asking myself for a while... kwny bible kuna mstari Mungu anasema nalingalikujua tangu u tumboni mwa mama yko ukiitafsiri ni kwmb alijua kila kitu kuhusu ww na hata fate yko yy ndo anaijua so manaake ni kwmb tang u tumboni anajua we ni wa moton au pepon regardless utaish vp dunian...
Ni dhana kwamba kuna biological beings wapo sehemu nyingine tofauti za ulimwengu huu.Duuh...haya unaelewa nini kuhusu Aliens
We unakubaliana na dhana hiyo na kwamba hao biological beings huja kutembelea duniani ?Ni dhana kwamba kuna biological beings wapo sehemu nyingine tofauti za ulimwengu huu.
Hatujui sheria zake, kila mtu anaamka na zake na Kuna dini 4687437 duniani, ipi inasheria zake..Kuna miungu 4564236 yupo ndo mwenyewe.. unamuabudu Yahweh au Allah, Kuna Zeus, Shiva, Horus, Thor, Shango, wote Hawa. Haya nani unamfuata na kwa Nini, na kwa Nini ujumbe wake haujawa clear kwa kila mtu auelewe na anatoa adhabu ni sawa na mtu atoe maswali ya advanced math kwa watoto wa chekechea na wakifeli wanachomwa. In short elimikeni bacNdugu kimya wa Mungu hata anapokuwa challenged kama hivi pia ni ishara ya ukamilifu wake.
Moja ya şifa kuu za Mungu upendo huu ndio unao mponza kwangu angeweza kutuumba kama robot tukafanya kıla kitu anachotaka yeye kama unavyosema lon hakutaka.
Angeweza pia kumuamgamiza lucifer kanla hajaleta madhara Duniani lon akaona malaika wengine wangemuabudu kwa woga.
Angeweza pia kuwachoma moto adam na hawa kabla hawakaambukiza dhambi kwa watoto wao lkn wasingejua madhara ya koşa lao na watoto wao pia wangeweza kurudia makosa ya wazazi wao.
Mungu anaheshimu freedom of çekice , ndio maana alimuumba binadamu kwa Mfano wake
Mwanzo 1:26
Sifa ya upendo ni lazima uwe huru kuchagua vinginevyo hii sio upendo ndio maana maneno kupenda na kuchagua huda yanatumika interchangeably. Unaweza kusema kwa nini umevichagua hibi viatu au hivi viatu umevipendea nini?
Kea kifupi Mungu alitaka viumbe watakao mpenda kwa uchaguzi wao na sio kulazimishwa. Viumbe watakao zipenda sheria zake kwa hiari.🙏
Hakuna kitu cha ajabu kwenye dhana hiyo, ila hakuna uthibitisho. Mimi nakwenda na uthibitisho.We unakubaliana na dhana hiyo na kwamba hao biological beings huja kutembelea duniani ?
Unajuaje kama sijajiunga?Freemason wanatoa kafara, na wanaamini kuna nguvu kubwa kuliko wao ambayo inatoka kwa malaika wa nuru (Satan).
Ukitaka uamini kajiunge utakuja kushuhudia hapa
Huenda wanawasiliana. Ila sio kuongeaWanyama, Wadudu,Ndege etc. wanawasiliana/ wanaongea.... Labda useme huwaelewi....
Ndiyo maana nikasema hivi, Unachokiona ni maajabu kwako,.... Basi kwa Mungu si maajabu bali Ujuzi tu ndiyo unahitajika.
Unawajua Kasuku?Huenda wanawasiliana. Ila sio kuongea
Hivi upo serious unaamini nyoka aliongea na mtu akamwambia kula tunda ama, haya huyo nyoka alikuwaje maana naandiko yanasema alilaaniwa kwa kutambaa, so alikuwa na miguu au.. in short hizi story ni za mababu wakijaribu kuelewa mwanzo wa dunia. Ila in short sio hata original maana Gilgamesh story ni Kama hiyo na ni ya zamani kabla ya Biblia kuandikwa..so imeigwa .soma historia ueleweWanyama, Wadudu,Ndege etc. wanawasiliana/ wanaongea.... Labda useme huwaelewi....
Ndiyo maana nikasema hivi, Unachokiona ni maajabu kwako,.... Basi kwa Mungu si maajabu bali Ujuzi tu ndiyo unahitajika.
Sina knowledge sana kuhusu Bible maana Qur'an haijasema kwamba Nyoka alilaaniwa.Hivi upo serious unaamini nyoka aliongea na mtu akamwambia kula tunda ama, haya huyo nyoka alikuwaje maana naandiko yanasema alilaaniwa kwa kutambaa, so alikuwa na miguu au.. in short hizi story ni za mababu wakijaribu kuelewa mwanzo wa dunia. Ila in short sio hata original maana Gilgamesh story ni Kama hiyo na ni ya zamani kabla ya Biblia kuandikwa..so imeigwa .soma historia uelewe
Skia...tuache ushabiki...Sasa si Bora usingejibu au. Sasa ukisema iblis ndo kalaaniwa kwa hiyo ye alifanyaje...hii inaonekana kuwa story ya kutungwa ndo maana kila mtu ana yake. Huwezi kuwa mtu mzima mwenye knowledge ya biology na history ukaamini hii story ya Adam na Eve. Ina makosa mengi Sana ya logic, genetics, scientific implausibility, etcSina knowledge sana kuhusu Bible maana Qur'an haijasema kwamba Nyoka alilaaniwa.
Wala Qur'an hakuna sehemu imetaja Nyoka kwenye hilo tukio la Eden, Bali yenyewe inasema tu kwamba Adam na Hawa walikua tempted na Ibilis.
So, kuhusu suala la Nyoka kulaaniwa kwa kutambaa silijui.... Maana hata jongoo wanatambaa Mkuu
Mkuu kwani hujui Iblis alifanyaje?Skia...tuache ushabiki...Sasa si Bora usingejibu au. Sasa ukisema iblis ndo kalaaniwa kwa hiyo ye alifanyaje...hii inaonekana kuwa story ya kutungwa ndo maana kila mtu ana yake. Huwezi kuwa mtu mzima mwenye knowledge ya biology na history ukaamini hii story ya Adam na Eve. Ina makosa mengi Sana ya logic, genetics, scientific implausibility, etc
Siwezi kuleta....Ila that doesn't mean story yako ya ukweli...buh wanasayansi wanachosema makes sense and it's more possible kuliko story yenu ya sijui kiumbe Cha Moto cjui Nini majini sa ndo nini. Just because hujui kitu haimaanishi ujitungie tu story na ukaririshe watu useme ni ukweli au utaungua milele. Sayansi haipo hivyo. Sayansi inatafuta majibu haikwepi maswaliMkuu kwani hujui Iblis alifanyaje?
Iblis alishalaaniwa kabla ya tukio la Eden.
Okay, let's say hiyo story ya Adam na Eve Ina makosa mengi kama ulivyotaja..... Unaweza ukatuletea Historical au Scientific facts nyingine ambayo imeelezea Origin of Human beings ikiwezekana na viumbe wote kwa ujumla?
Wanasayansi wamesema kitu gani kuhusu Origin of Human beings na viumbe wengine,.... Scientific theories zinazoelezea Origin ya viumbe ukizichunguza utagundua ni uongo.Siwezi kuleta....Ila that doesn't mean story yako ya ukweli...buh wanasayansi wanachosema makes sense and it's more possible kuliko story yenu ya sijui kiumbe Cha Moto cjui Nini majini sa ndo nini. Just because hujui kitu haimaanishi ujitungie tu story na ukaririshe watu useme ni ukweli au utaungua milele. Sayansi haipo hivyo. Sayansi inatafuta majibu haikwepi maswali