Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Skia..mfano we umelala ukaamka ukaona malaika chumbani kwako kakutokea na kakuongelesha. Je, utaamini kwamba sheria za ulimwengu wa asili zimepishana kwa ajili yako au wewe macho yako na ubongo wako umekosea kutafsiri Hali halisi. Watu wanaona vitu ndio..Kama vile Fatima watu 3000 waliona jua linachezacheza..Ila jua lilicheza, au akili zao ndo ziliwachezea hio michezo. Tafuta real video ya anything supernatural, halafu ndo ukubali na iwe true coz vitu vya hivyo vingetangazwa taarifa za habari main, hizi story zipo hata bongo lakini hazitangazwi kwa sababu zipo kwenye akili tu.
Hujanijibu kwa uwazi jinsi unavyowachukulia watu kama lina CASSIAN na kina ANDY CHANDE na hadithi zao
 
Ila hatuambiani nyoka waliongea na mwezi ulipasuka na kurudi bana
Wanyama, Wadudu,Ndege etc. wanawasiliana/ wanaongea.... Labda useme huwaelewi....


Ndiyo maana nikasema hivi, Unachokiona ni maajabu kwako,.... Basi kwa Mungu si maajabu bali Ujuzi tu ndiyo unahitajika.
 
sasa si unaona kuwa mungu anakuwa anajua hatima yetu hata kama hatujaumbwa so hiyo hatima hauwezi kuichange
Mkuu hilo swali i've asking myself for a while... kwny bible kuna mstari Mungu anasema nalingalikujua tangu u tumboni mwa mama yko ukiitafsiri ni kwmb alijua kila kitu kuhusu ww na hata fate yko yy ndo anaijua so manaake ni kwmb tang u tumboni anajua we ni wa moton au pepon regardless utaish vp dunian...
 
Hujanijibu kwa uwazi jinsi unavyowachukulia watu kama lina CASSIAN na kina ANDY CHANDE na hadithi zao
Jamani we..nimekuambia sio kila kitu macho yako yanachoona niyaukweli. so whether walifanya Nini mi sijui .Ila hawana proof ya supernatural power zaidi ya story zao tu..hio inaitwa argument from experience..unasema kitu kipo coz we umekiexperience, lakini sio kila mtu anaweza kuexperience inabaki story tu ndo maana sio evidence.
 
Hapo naona unamfikiria Mungu kama binadamu.

Ila kwa Mungu dunia iko sawa kabisa na anavyotaka yeye, ila wewe ndo unafikiri hayo yote yaliyo tokea yako nje ya uwezo wake.

Ngoja nikuulize

1.Kwa nini tunaweka watu 22 uwanjani washindane kuingiza mpira golini kwa kutumia miguu.

Mbona asiingia tu mtu mmoja akabeba mpira na mkono akaugiza golini?


2.Umewahi kucheza gemu rahisi? Lilikua linaboa eeeh?



Mpaka happy Kuna kitu umegundua au bado.
Umetoa maswali badala ya majibu !duh! Swali hili ni fikirishi na kupitia hili swali watu wengi wanaweza kukomboka na mizigo yao kiimani . Maana kuna watu wanaishi Kwa hofu kuu kwamba watachomwa siku ya mwisho
 
Back
Top Bottom