Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Mkuu hilo swali i've asking myself for a while... kwny bible kuna mstari Mungu anasema nalingalikujua tangu u tumboni mwa mama yko ukiitafsiri ni kwmb alijua kila kitu kuhusu ww na hata fate yko yy ndo anaijua so manaake ni kwmb tang u tumboni anajua we ni wa moton au pepon regardless utaish vp dunian...
Asanteh kwa ufafanuzi

NAKAZIA
 
Kaka swali unalouliza halina maana kwa kuwa unachanganya arguments 2 zinazokinzana.
Hoja zako umuzifafanua kimantiki yani zina faida na madhaifu,lakini mhusika katika hoja yako yupo kiimani na umisha amini kuwa yupo na kama ndivyo maandiko yanasema ni mkamilifu

Hivyo basi kwa kujibu hoja yako,kutokana na arguments zako hakuna kiumbe kinaitwa Mungu na kama yupo basi maana yake maandiko yaliyoandikwa kumhusu yeye ndio yana tatizo.
 
Akili ya binadamu ni ndogo sana kupata majibu ya maswali yanayomuhusu Mungu. Ni sawa na Kuku aanze kutaka kujua mfugaji wake alitoka wapi, kwanini kuku yupo pale. Akili zetu ni ndogo mno! Siku tukija kuongezwa GB kadhaa kwenye ubongo tutafunuliwa mambo mengi tutashangaa sana! Na kujiona wajinga kabisa.
 
Ndugu kimya wa Mungu hata anapokuwa challenged kama hivi pia ni ishara ya ukamilifu wake.
Moja ya şifa kuu za Mungu upendo huu ndio unao mponza kwangu angeweza kutuumba kama robot tukafanya kıla kitu anachotaka yeye kama unavyosema lon hakutaka.
Angeweza pia kumuamgamiza lucifer kanla hajaleta madhara Duniani lon akaona malaika wengine wangemuabudu kwa woga.
Angeweza pia kuwachoma moto adam na hawa kabla hawakaambukiza dhambi kwa watoto wao lkn wasingejua madhara ya koşa lao na watoto wao pia wangeweza kurudia makosa ya wazazi wao.
Mungu anaheshimu freedom of çekice , ndio maana alimuumba binadamu kwa Mfano wake
Mwanzo 1:26
Sifa ya upendo ni lazima uwe huru kuchagua vinginevyo hii sio upendo ndio maana maneno kupenda na kuchagua huda yanatumika interchangeably. Unaweza kusema kwa nini umevichagua hibi viatu au hivi viatu umevipendea nini?
Kea kifupi Mungu alitaka viumbe watakao mpenda kwa uchaguzi wao na sio kulazimishwa. Viumbe watakao zipenda sheria zake kwa hiari.🙏
 
Hatujui sheria zake, kila mtu anaamka na zake na Kuna dini 4687437 duniani, ipi inasheria zake..Kuna miungu 4564236 yupo ndo mwenyewe.. unamuabudu Yahweh au Allah, Kuna Zeus, Shiva, Horus, Thor, Shango, wote Hawa. Haya nani unamfuata na kwa Nini, na kwa Nini ujumbe wake haujawa clear kwa kila mtu auelewe na anatoa adhabu ni sawa na mtu atoe maswali ya advanced math kwa watoto wa chekechea na wakifeli wanachomwa. In short elimikeni bac
 
Freemason wanatoa kafara, na wanaamini kuna nguvu kubwa kuliko wao ambayo inatoka kwa malaika wa nuru (Satan).

Ukitaka uamini kajiunge utakuja kushuhudia hapa
Unajuaje kama sijajiunga?
Freemason haitoi kafara yeyote ile. Freemason hawafanyi ibada yeyote ile. Japo kujiunga inakupasa uwe ni muamini wa nguvu kubwa. Hii ni kwasababu zamani zile waliamin kua theists ndio wana maadili na lengo la Freemason ni kuturn "good men into better men" hivo theists tu ndio walisajiliwa as Freemasons. Ila kwa sasa hio ipo kama ritual tu. Cha msingi uwe unaamini kitu chochote kile hata useme kua mungu wako ni mti... fresh tu.
 
Wanyama, Wadudu,Ndege etc. wanawasiliana/ wanaongea.... Labda useme huwaelewi....

Ndiyo maana nikasema hivi, Unachokiona ni maajabu kwako,.... Basi kwa Mungu si maajabu bali Ujuzi tu ndiyo unahitajika.
Huenda wanawasiliana. Ila sio kuongea
 
Wanyama, Wadudu,Ndege etc. wanawasiliana/ wanaongea.... Labda useme huwaelewi....

Ndiyo maana nikasema hivi, Unachokiona ni maajabu kwako,.... Basi kwa Mungu si maajabu bali Ujuzi tu ndiyo unahitajika.
Hivi upo serious unaamini nyoka aliongea na mtu akamwambia kula tunda ama, haya huyo nyoka alikuwaje maana naandiko yanasema alilaaniwa kwa kutambaa, so alikuwa na miguu au.. in short hizi story ni za mababu wakijaribu kuelewa mwanzo wa dunia. Ila in short sio hata original maana Gilgamesh story ni Kama hiyo na ni ya zamani kabla ya Biblia kuandikwa..so imeigwa .soma historia uelewe
 
Sina knowledge sana kuhusu Bible maana Qur'an haijasema kwamba Nyoka alilaaniwa.

Wala Qur'an hakuna sehemu imetaja Nyoka kwenye hilo tukio la Eden, Bali yenyewe inasema tu kwamba Adam na Hawa walikua tempted na Ibilis.

So, kuhusu suala la Nyoka kulaaniwa kwa kutambaa silijui.... Maana hata jongoo wanatambaa Mkuu
 
Skia...tuache ushabiki...Sasa si Bora usingejibu au. Sasa ukisema iblis ndo kalaaniwa kwa hiyo ye alifanyaje...hii inaonekana kuwa story ya kutungwa ndo maana kila mtu ana yake. Huwezi kuwa mtu mzima mwenye knowledge ya biology na history ukaamini hii story ya Adam na Eve. Ina makosa mengi Sana ya logic, genetics, scientific implausibility, etc
 
Mkuu kwani hujui Iblis alifanyaje?

Iblis alishalaaniwa kabla ya tukio la Eden.

Okay, let's say hiyo story ya Adam na Eve Ina makosa mengi kama ulivyotaja..... Unaweza ukatuletea Historical au Scientific facts nyingine ambayo imeelezea Origin of Human beings ikiwezekana na viumbe wote kwa ujumla?
 
Siwezi kuleta....Ila that doesn't mean story yako ya ukweli...buh wanasayansi wanachosema makes sense and it's more possible kuliko story yenu ya sijui kiumbe Cha Moto cjui Nini majini sa ndo nini. Just because hujui kitu haimaanishi ujitungie tu story na ukaririshe watu useme ni ukweli au utaungua milele. Sayansi haipo hivyo. Sayansi inatafuta majibu haikwepi maswali
 
Wanasayansi wamesema kitu gani kuhusu Origin of Human beings na viumbe wengine,.... Scientific theories zinazoelezea Origin ya viumbe ukizichunguza utagundua ni uongo.

Ngoja nikuulize swali,..... Unahisi kila kiumbe kinaonekana kwa macho?

Kama kuna viumbe kama viruses, Prions, Mycoplasma,archaea na kadhalika, ambao miaka na miaka imepita kabla ya kugundulika kwa Microscope ulikua mtu huwezi kuwaona kwa macho ya kawaida,... Vipi unashangaa kuhusu majini?

Majini(Spirits) ni Viumbe wameumbwa kwa moto(smokeless and scorching fire)

Hivyo basi, sisi kushindwa kuwaona majini kwa macho haimaanishi kwamba hawapo.

Kumbuka miaka 5000 iliyopita,..... Mtu angekuja akasema kuhusu ishu za Blackholes angeonekana kichaa.

Hivyo tufahamu tu kwamba elimu ni bahari,.... Inasemekana Wapo wajuzi wa mambo wanamiliki mpaka majini Tembea uone au jaribu kufanya research kuliko kubisha tu.
 
Nafikiri swali lako linaweza kuwa ni rahisi sana ukiacha kuwaza nje ya kile unachokiamini kwa mfano, unaonaje kama sisi Leo tungekuwa tunaishi bila kufanya kazi yaani tuamke asubuhi, tuchume sijui embe then unakula unalala maisha yangekuwa hayana ladha bila shaka. Alafu kwann haujawahi kujiuliza kuna ndio na sio kuna juu na chini, kuna bahar na nchi kavu Luna milima na tambarare, kuna zuri na baya, nk... Kwa mfumo huu naona kabisa Mungu aliruhusu hayo yote yatokee ili tuweze kutofautisha vitu,
 
Back
Top Bottom