Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Hahh Sayansi imetoa uthibitisho gani Mkuu.

Nikikuambia uonyeshe uthibitisho wa Ancestor ambae Living Organisms wote tumetokana naye tutakesha hapa...
Na nikikwambia ulete uthibitisho wa kua viumbe vimeumbwa na huyo mungu wako tutakesha...
Ila guess yupi anaweza kukupa explanation, walau ya fossils.
 
Hizo fossils za huyo ancestor zipo?
Ancestor yupi? Kama vitu rahisi kama use and dissuse unapinga, vitu unaweza kuprove hata ww mwenyew ukielekezwa... ukianza kuelezewa kuhusu tunavo speculate kua tumetokana na samaki utaelewa kweli?

Na... hii sasa ndo simple zaid, mungu aliumba mbwa? Unaweza kunionesha mbwa aliembwa na mungu
 
Ancestor of all living organisms according to Evolution Theory!!

Sio kwamba napinga kimakosa, NO... bali sababu kubwa ni kwamba haiingii akilini lakini pia haina evidence.

Kumbuka, hii Theory ya Use& Disuse imepingwa mpaka na Modern Scientists Sababu kubwa ni kwamba bwana Jean-Baptiste Lamarck alishindwa kabisa kuleta/Kuonyesha ushahidi wa theory yake.

Hivyo basi Modern Scientists Waka reject theory yake⤵️
Despite Lamarck's best efforts, he was never able to provide conclusive evidence to support his theory. The scientific community at the time rejected his ideas, and subsequent research has failed to support his claims.

Yes, Mbwa kaumbwa na Mungu,... Au una conspiracy theories juu yake ?
 
Hivyo basi Modern Scientists Waka reject theory yake[emoji3593]
Despite Lamarck's best efforts, he was never able to provide conclusive evidence to support his theory. The scientific community at the time rejected his ideas, and subsequent research has failed to support his claims.

Yes, Mbwa kaumbwa na Mungu,... Au una conspiracy theories juu yake ?
Use and dissuse haipingwi.

Mbwa kaevolve kutokana na wolf... na ni recent sana. Mbwa sio wa zaman sana. Na infact, mbwa kaevolve recently kias kwamba bado hajawa complete different species na wolf. Mbwa ni sub species ya wolf na wana interbreed vzr tu...
 
Use & Disuse inapingwa vikali sana na Modern Scientists kwasababu haina evidence na pia haina observed phenomena yoyote ambayo ishawahi kutokea.

Mbwa ku evolve kutoka kwa Wolves...., Ndiyo tunarudi palepale kwa Human being and Apes.{it's just a theory, it's just a belief}
 
Ushahidi nilionao juu ya uwepo wa viumbe hao, ni ushahidi wa kiimani... Imani currently huwezi kuthibitisha.

Muumini anaamini kwenye kitu kinachoitwa "Ghaib"

Ghaib ni Nini..."refers to the unseen or hidden aspects of reality that cannot be directly perceived by human senses or empirical observation. The term is often translated as "the unseen".
Sasa Kuna tofauti gani ya hio Ghaib, mi Nikisema naamini wadada wa mwezini wanalala na Mimi kila usiku nikiangalia mwezi na nikakuambia ni Ghaib sijui imani utaamini? Ila kisa muarabu kaota vitu pangoni na katawala sehemu mbalimbali duniani na kulazimisha muamini ndo unadhani kitu kipo Ila it's unseen. Basi me nasema majini hawapo na until nipate evidence kwamba wapo itabaki story tu za mababu...bana hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikuwa hawajui vitu vingi so kitu ambacho saa hivi unaona normal tu kipindi kile mtu anadhani majini ..mfano sleep paralysis au wabongo mnaita jinamizi
 
Use & Disuse inapingwa vikali sana na Modern Scientists kwasababu haina evidence na pia haina observed phenomena yoyote ambayo ishawahi kutokea.

Mbwa ku evolve kutoka kwa Wolves...., Ndiyo tunarudi palepale kwa Human being and Apes.{it's just a theory, it's just a belief}
Sasa si Kuna fossils bro, unataka Nini, kwa hio fossils zile ni mawe yamejiunga kuwa mifupa au...we unakaa hufatilii unasema hamna evidence...ukiombwa evidence ya majini unasema unseen Sasa ndo utoto gani unafanya.
 
Ancestor of all living organisms according to Evolution Theory!!

Sio kwamba napinga kimakosa, NO... bali sababu kubwa ni kwamba haiingii akilini lakini pia haina evidence.

Kumbuka, hii Theory ya Use& Disuse imepingwa mpaka na Modern Scientists Sababu kubwa ni kwamba bwana Jean-Baptiste Lamarck alishindwa kabisa kuleta/Kuonyesha ushahidi wa theory yake.

Hivyo basi Modern Scientists Waka reject theory yake⤵️
Despite Lamarck's best efforts, he was never able to provide conclusive evidence to support his theory. The scientific community at the time rejected his ideas, and subsequent research has failed to support his claims.

Yes, Mbwa kaumbwa na Mungu,... Au una conspiracy theories juu yake ?
We Kama haingii akilini sio kwamba ni uwongo ni kwamba akili yako imeshindikana kuelewa coz we ni mvivu. Hujui chochote kuhusu evolution. Umeambiwa evolution haielezi dunia imeanzaje inaelezea development of species..na proof ni fossils zinaonyesha development kutoka stage fulani mpaka Sasa na unaona kabisa...we unadhani history inafuatiliaje through Archaeology, Leo hii tunajua history ya Egypt na Greece kwa sababu ya archeology, it works sawa kaka. Na proof ya evolution ni kwamba Hadi siku ya Leo watu wanaweza wakaionyesha through evidences such as tail bone, pelvis bones kwenye whales, na pia microorganisms lyk bacteria since wao wanakua fasta u can see the changes and lab guys wanazialter and shit...ndo maana nakuambia fuatilia kitu ukijue sio unakaa kwenye simu unasema it's fake ..fake ungefundishwa darasani na walimu... Tunafundishana evolution na sio majini yenu coz moja tayari ni fact nyingine ni hekaya
 
Wakuu poleni kwa upambanaji.

Binafsi mimi kuna mda huwa nikitulizaga kichwa changu huwa naanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mimi (binadamu) na ulimwengu kiujumla (Universe).

Maswali kama sisi (binadamu) ni kina nani,tumetoka wapi asili yetu, kwanini tupo (dhumuni la kuishi), mwisho wetu ama hatima yetu ni nini, Ulimwengu wa vitu je kama sayari, nyota, galaxies zimekuwepo vipi na nini hasa mwisho wake.

Hapo juu ni baadhi tu ya maswali ambayo huwa naiuliza sana akili yangu ikiwaga katika hali ya utulivu.

Lakini cha kusikitisha ni kwamba, katika maswali yote hayo ambayo huwa najiuliza, sijawahi kupata jibu la uhakika kuniridhisha kuhusu hayo maswali yangu.

Nimekuwa nikifanya bidii kubwa sana kupata majibu ya maswali yangu kupitia usomaji wa majarida au vitabu vihusuvyo historia,sayansi, dini na Falsafa lakini kote bado sijapata majibu ya kuniridhisha tofauti na kuambulia majibu ya kinadharia tu ambayo yana strength kiasi chake lakini pia yana weakness sehemu nyingi tu.

Na nikiri wazi tu kuwa katika usomaji wangu wa nadharia hizo zote (historia, sayansi, dini, falsafa) sehemu ambayo nimeanza kuiamini kunipa majibu ya maswali yangu ni kwenye DINI.

Nikiwa na maana nimeanza kuamini kwamba uwepo na sisi tuliohai na visivyo hai hapa ulimwenguni ni matokea ya Uumbaji ya nguvu kubwa sana inayoitwa MUNGU/ALLAH kama ambavyo dini nyingi zinaelezea nguvu hiyo.

Na leo maswali yangu yanajikita huko kwenye hiyo nguvu (Mungu) maana nimeanza kuiamini lakini pia kila nisomapo BIBLIA (mimi mkristo) inanipa maswali chungu nzima.

Sasa leo swali langu limejikita kwenye UKAMILIFU wa MUNGU.

Naombeni wasomaji mnielewe kuwa sina maana ya kukufuru (maana mara nyingi niulizapo maswali kuhusu MUNGU huwa naambiwa nakufuru) bali mimi nataka kujifunza zaidi kumuhusu huyu Mungu.

Dini nyingi (hasa Ukristo na uislamu) zimekuwa zikimwelezea Mungu kuwa ni Mkamilifu sana,mwenye nguvu nyingi sana, uwezo na akili zake hazichunguziki, hashindwi na chochote n.k.

Je hilo lina ukweli ? kupitia Biblia mimi nimeanza kudhani kwamba huenda kweli Mungu ana nguvu nyingi sana ila siyo zote, ana uwezo mkubwa sana ila siyo uwezo wote,ana maarifa mengi sana ila siyo maarifa yote, ana ukamilifu mwingi sana ila siyo ukamilifu wote n.k

Nasema haya ni kutokana na maswali yafuatayo :

1. Kama Mungu ana ukamilifu wote, kwanini sasa alimuumba malaika (Lucifer/shetani) alafu badae akaja kumuasi?
Kama Shetani/Lucifer aliasi maana yake ni kwamba Mungu alimuumba huyu kiumbe akiwa na madhaifu kadhaa na ndiyo maana alishindwa kuitii amri/mamlaka ya muumbaji wake.

Kama Mungu angelikuwa na ukamilifu wote, basi malaika wote wangelikuwa wameumbwa katika namna ya utii pekee, uasi usingetokea na huo uasi unadhihirisha kwamba Mungu aliwaumba hawa malaika wakiwa na udhaifu flani, hawakuwa na uimara wote.

2. Uumbaji wa Eva (Hawa) unaonesha kulikuwa na madhaifu pia.
Katika Biblia takatifu kwenye kitabu cha mwanzo, kuna mistari inaeleza kuwa "Mungu alimpa usingizi mzito Adam, alafu akabandua sehemu ya ubavu wake na kumfanya/kumuumba mwanamke (Hawa/Eva)".

Alafu Mungu akamwambia Adam kuwa huyu mwanamke atakuwa msaidizi wako

Lakini ni huyo huyo mwanamke ambae shetani (kwenye umbo la nyoka) alienda kumdanganya akachukua matunda ya mti walioambiwa asile yeye akala na akampelekea na mumewe (Adam) pia akala.

Lakini Mungu alivyomuuliza Adam kwanini umekula matunda ya mti ambao nilikwambia usile, Adam alijibu kuwa "Ni huyo mwanamke uliyenipa ndiye aliyeniletea nikala".

Tukio hili linadhihirisha kuwa Mungu alimpa Adam msaidizi (Hawa) ambae ni dhaifu sana na ndiyo maana alisababisha dhambi ikaenda hadi kwa Adam.

Na huenda kama Mungu angelikuwa amempa Adam msaidizi imara asiye na madhaifu basi ile dhambi ya kula tunda ingeepukika.

Uko wapi sasa ukamilifu wote wa Mungu ikiwa aliweza kuwaumba malaika dhaifu (ambao walikuja kumuasi) na pia bado akampa Adam msaidizi dhaifu kabisa ambaye alisababisha dhambi imwendee hadi Adam?

Kwa leo naombeni comment zenu zinifunze kuhusu hilo tu (La ukamilifu wa Mungu) alafu mengine nitauliza siku nyingine, na mengine nitakuwa nauliza humo humo kwenye comments zenu.

NB: Naamini Mungu yupo, kutokana na baadhi ya vitu ninavyoviona ulimwenguni (hasa uumbaji/creation) ambapo kuna baadhi ya vitu hasa sayansi inakosa majibu ya kuridhisha, ila shida yangu kubwa ni sifa za Mungu ambazo anapewa na wanadamu naona kama zinashindwa kujidhihirisha kwenye baadhi ya mambo.

Karibuni mnifunze.

Mkuu, labda utuambie unaelewaje kuhusu ukamilifu.

Imeandikwa pia kila kitu kimeumbwa katika ukamilifu wake. Ndiyo maana umeona pia ktk astronomy hayo matukio yote yanaenenda hivyo.
Malaika hata huyo Eva wote walikuwa ni wakamilifu.

Je, kuwa mkamilifu na kushindwa kufuata maelekezo unayopewa yaweza kuwa ni kukosa ukamilifu? Hapa nadhani wewe ndipo unapoona kuwa Mungu pengine hana ukamilifu.
 
Sasa Kuna tofauti gani ya hio Ghaib, mi Nikisema naamini wadada wa mwezini wanalala na Mimi kila usiku nikiangalia mwezi na nikakuambia ni Ghaib sijui imani utaamini? Ila kisa muarabu kaota vitu pangoni na katawala sehemu mbalimbali duniani na kulazimisha muamini ndo unadhani kitu kipo Ila it's unseen. Basi me nasema majini hawapo na until nipate evidence kwamba wapo itabaki story tu za mababu...bana hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikuwa hawajui vitu vingi so kitu ambacho saa hivi unaona normal tu kipindi kile mtu anadhani majini ..mfano sleep paralysis au wabongo mnaita jinamizi
Hakuna mtu aliyelazimishwa kuamini kwenye Uislam. Kwa mfano binafsi nafuata Qur'an kwa maamuzi tu kwakuwa inaingia akilini.

Hivyo, hizo story kwamba unalala na wadada wa mwezini hakuna Mtu atazingatia wala kuamini kwakuwa haziingii akilini.

Majini hayahusiani kabisa na sleeping paralysis....bali ni Viumbe kama wegine tu wanaishi maisha Yao..... Ndiyo maana nikasema fanya research kuhusu majini wapo watu wenye elimu ya kina kuhusu hivyo viumbe.

~Hivi ushawahi kumuona mtu ameingiliwa na Jini / amekuwa demon possessed?!
 
Sasa si Kuna fossils bro, unataka Nini, kwa hio fossils zile ni mawe yamejiunga kuwa mifupa au...we unakaa hufatilii unasema hamna evidence...ukiombwa evidence ya majini unasema unseen Sasa ndo utoto gani unafanya.
Wewe ndiyo unafanya utoto Mkuu,.... Kuliko kuongea maneno mengi ilipaswa uweke uthibitisho wa hizo fossils zinazoonyesha Watu walikua na mkia, Giraffe walikua na Shingo fupi n.k

Modern Scientists, wenyewe wanaipinga hii theory ya Use& Disuse kwa kuwa haina ushahidi wowote........ Wewe kama una ushahidi hata wa fossils weka tuuone.

NB: Jean-Baptiste Lamarck hana uthibitisho hata wa fossils,.. sasa wewe Muumini wake sijui hizo fossils utazitolea wapi.
 
We Kama haingii akilini sio kwamba ni uwongo ni kwamba akili yako imeshindikana kuelewa coz we ni mvivu. Hujui chochote kuhusu evolution. Umeambiwa evolution haielezi dunia imeanzaje inaelezea development of species..na proof ni fossils zinaonyesha development kutoka stage fulani mpaka Sasa na unaona kabisa...we unadhani history inafuatiliaje through Archaeology, Leo hii tunajua history ya Egypt na Greece kwa sababu ya archeology, it works sawa kaka. Na proof ya evolution ni kwamba Hadi siku ya Leo watu wanaweza wakaionyesha through evidences such as tail bone, pelvis bones kwenye whales, na pia microorganisms lyk bacteria since wao wanakua fasta u can see the changes and lab guys wanazialter and shit...ndo maana nakuambia fuatilia kitu ukijue sio unakaa kwenye simu unasema it's fake ..fake ungefundishwa darasani na walimu... Tunafundishana evolution na sio majini yenu coz moja tayari ni fact nyingine ni hekaya
Kufundishwa darasani hakuifanyi Evolution Theory kuwa kweli..,

Mara kadhaa nimekuelezea Bing bang theory & Evolution Theory.... So nazielewa hizo Theory and what they're explaining hivyo labda wewe ndiyo hujui chochote kuhusu hizo Theory.

Inaonekana kuna kitu unachanganya wewe...... Ipo hivi ⤵️

Kumjua huyo Ancestor ambae Evolution Theory inadai all living organisms tumetokea kwake...... Haimaanishi kwamba tunataka kujua Dunia imeenzaje, bali tunataka kujua viumbe hai wameanzaje& Development of species!

Evolution Theory kuna muda inakua ni Imani tu maana hizo evidence kama fossils unazosema huwezi kuleta hata nikikupa mwaka mzima huu.

Mfano, Can you brought fossils of the Ancestor whom Evolution Theory claim that all living organisms evolved from it.?

NB: Ukishindwa kuleta fossils za huyo Ancestor ambae Living Organisms wote tumetokana naye according to Evolution Theory..... Basi ujue Unaamini kwenye hekaya tu.
 
Hakuna mtu aliyelazimishwa kuamini kwenye Uislam. Kwa mfano binafsi nafuata Qur'an kwa maamuzi tu kwakuwa inaingia akilini.

Hivyo, hizo story kwamba unalala na wadada wa mwezini hakuna Mtu atazingatia wala kuamini kwakuwa haziingii akilini.

Majini hayahusiani kabisa na sleeping paralysis....bali ni Viumbe kama wegine tu wanaishi maisha Yao..... Ndiyo maana nikasema fanya research kuhusu majini wapo watu wenye elimu ya kina kuhusu hivyo viumbe.

~Hivi ushawahi kumuona mtu ameingiliwa na Jini / amekuwa demon possessed?!
Skia...umekuwa muislam ukiwa na miaka mingapi?
 
Wewe ndiyo unafanya utoto Mkuu,.... Kuliko kuongea maneno mengi ilipaswa uweke uthibitisho wa hizo fossils zinazoonyesha Watu walikua na mkia, Giraffe walikua na Shingo fupi n.k

Modern Scientists, wenyewe wanaipinga hii theory ya Use& Disuse kwa kuwa haina ushahidi wowote........ Wewe kama una ushahidi hata wa fossils weka tuuone.

NB: Jean-Baptiste Lamarck hana uthibitisho hata wa fossils,.. sasa wewe Muumini wake sijui hizo fossils utazitolea wapi.
Mi siongelei use and disuse naongelea theory ya Darwin Ina proof ambayo Ni fossils.
 
Kufundishwa darasani hakuifanyi Evolution Theory kuwa kweli..,

Mara kadhaa nimekuelezea Bing bang theory & Evolution Theory.... So nazielewa hizo Theory and what they're explaining hivyo labda wewe ndiyo hujui chochote kuhusu hizo Theory.

Inaonekana kuna kitu unachanganya wewe...... Ipo hivi ⤵️

Kumjua huyo Ancestor ambae Evolution Theory inadai all living organisms tumetokea kwake...... Haimaanishi kwamba tunataka kujua Dunia imeenzaje, bali tunataka kujua viumbe hai wameanzaje& Development of species!

Evolution Theory kuna muda inakua ni Imani tu maana hizo evidence kama fossils unazosema huwezi kuleta hata nikikupa mwaka mzima huu.

Mfano, Can you brought fossils of the Ancestor whom Evolution Theory claim that all living organisms evolved from it.?

NB: Ukishindwa kuleta fossils za huyo Ancestor ambae Living Organisms wote tumetokana naye according to Evolution Theory..... Basi ujue Unaamini kwenye hekaya tu.
Bac evolution ain't true..so solution yako ni kuamini majini na hekaya za uarabuni...kwa nini
 
Use & Disuse inapingwa vikali sana na Modern Scientists kwasababu haina evidence na pia haina observed phenomena yoyote ambayo ishawahi kutokea.

Mbwa ku evolve kutoka kwa Wolves...., Ndiyo tunarudi palepale kwa Human being and Apes.{it's just a theory, it's just a belief}
Use and dissuse mfano mzuri ni wa tembo. Idadi ya tembo wasio na meno marefu inaongezeka saivi. Wenye meno marefu wanakua vulnerable to poachers ivo wanaosurvive zaid ni wasio na meno marefu... sinilikupa huu mfano?

Use and dissuse nyingine ni nyoka, unajua asilimia kubwa ya nyoka wana miguu kwenye genes zao? Sema ziko deactivated tu unaweza kuziactivate lab ukatotoa nyoka mwenye miguu... na kuna scenarios zinatokeaga naturally nyoka anatotolewa akiwa na miguu.

Mfano mwingine ni ndege kukosa meno. Kwanza ndege unajua descendants wa dinosaurs? Yani huyo kuku unaefuga ndani kwako anaukaribu zaidi na dinosaurs kuliko kiumbe mwingine yeyeto aliehai...

Screenshot_20230507-115404_Google.jpg

Juu ni real fossil ya ndege wa zaman iliogunduliwa, chini ni artistic reconstruction. Use and dissuse...

Use and dissuse nyingine ni nyangumi na dolphins. Wao ni mamalia wa majini. Hawakuhitaj miguu ivo ikadisappear.. baadhi ya jamii za nyangumi wanamifupa ambayo inapasa kua miguu ila iko 'stuck' mwilin..
 
Skia atokee mtu yoyote ambae hajajua dini yoyote au chochote kuhusu Mungu wa Biblia au Quran mpaka anafika miaka 20. Afu akaamini bila kutumia miujiza feki ya wachungaji na shuhuda za uwongo. Mtu ambae ameamini story za Biblia au Quran na ametambulishwa nazo Akiwa 20 or above. Ndo aniambie it makes sense. Other than that, mnafundishwa mkiwa watoto because hizo story ni za watoto kuamini sio watu wazima. Religion is the only contract in the world ambae haina age ya consent. Mikataba yote inataka uwe unajielewa na mtu mzima ili ukubali Ila mkataba na dini(Mungu) ndo mtoto anasaini. Hizi Ni bogus treaties
 
Use & Disuse inapingwa vikali sana na Modern Scientists kwasababu haina evidence na pia haina observed phenomena yoyote ambayo ishawahi kutokea.

Mbwa ku evolve kutoka kwa Wolves...., Ndiyo tunarudi palepale kwa Human being and Apes.{it's just a theory, it's just a belief}
Hehe... afu ya wolf kua mbwa hio hata sio belief. Wala sio theoery. Hio ni kitu ni uhakika maana binadamu mwenyew ndio aliemdomisticate wolf. Sio issue ya millions of years, na ndomaana mpaka leo wolf na mbwa bado ni species ileile
 
Skia...umekuwa muislam ukiwa na miaka mingapi?
Nimekua Muislam baada ya kufikia umri wa balehe,... Yaani baada ya kujitambua.

Unajua nini,... Mfano mtu umezaliwa kwenye familia ya Kiislam ofcoz utasoma elimu ya Kiislam....... Lakini ukishafikia umri wa kujitambua hapo ndiyo utapima kwa akili yako je, napaswa kuamini kile nilichokisoma?

Kama ulichokisoma kinaingia akilini kwa upande wako, ndiyo utaamua kuufuata Uislam sasa,. Lakini kama unaona Elimu ya Uislam ni hekaya tu basi unafuata njia unazotaka wewe Very simple.
 
Back
Top Bottom