Itakuwa Vimbwanga at work...."....Hata hivyo baadaye mwaka huu, Rais Magufuli atasoma Hotuba ya kuandikiwa neno kwa neno bila hata kuongeza neno moja, siku atakapolihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kule New York nchini Marekani wakati wa kikao cha UN General Assembly, kwa sababu Hotuba hiyo itakuwa katika lugha ya Kiingereza! ."
Hahahhhahaha Mungu atupe uhai tuione hiyo siku.
Arudishwe hotelini haraka???!! Mimi Nina wazo,hawezi kupewa hiyo hotuba sasa hivi akawa anaiimba mpaka ikae kichwani,mfano....nyanya za mia,nyanya za mia,lakini kwa kiingerezaKabisa Mkuu nakubaliana na were 100%...asiende tu kutusitiri aibu ya karne...au akienda hotuba yake iwe kwa kiswahili (ingaweje kiswahili nacho kwake bado ni changamoto (kama miugiza, kipeuo cha kwanza) ila kwa vile wasikilizaji walengwa watakuwa hawajui kiswahili basi haitakuwa na shida) na akishamaliza arudishwe hotelini haraka sana asipewe Muda wa kujichanganya na marais wenzake
Kabisa Mkuu nakubaliana na were 100%...asiende tu kutusitiri aibu ya karne...au akienda hotuba yake iwe kwa kiswahili (ingaweje kiswahili nacho kwake bado ni changamoto (kama miugiza, kipeuo cha kwanza) ila kwa vile wasikilizaji walengwa watakuwa hawajui kiswahili basi haitakuwa na shida) na akishamaliza arudishwe hotelini haraka sana asipewe Muda wa kujichanganya na marais wenzake
MKWEPA KODi post: 17475668 said:Asome hotuba neno kwa neno, kwa sababu akiropoka kitu cha ajabu atadharaulika sana, tena sana
Akuaibishe wewe kivipi? Hv unafikiri watu nje ya Afrika wana IQ ndogo kama yako kwamba wanakwenda UN kujadili lugha ya mtu? Yaani Dunia iache kujadili Syria, Ukraine au sijui Zika virus ikajadili lugha ya Raisi wa Tanzania?
Ama kweli hawa Wanawake wanabeba mizigo sana Mungu ndiyo anajua hata wanamudu vipi maanake mtu mjinga kama wewe kuishi naye inahitaji msaada wa Roho Mtakatifu!
Na wazungu ninavyo wajua kwa kuzarau ngozi nyeusi,mh!Asome hotuba neno kwa neno, kwa sababu akiropoka kitu cha ajabu atadharaulika sana, tena sana
Kiswahili kikigoma pia tunagonga hata kisukuma,HAYANAGEGENINIIII! yaani hapana kabisa
Niliamka nimechukia lakini umenifanya nimecheka mpaka watoto wameshangaa.Kabisa Mkuu nakubaliana na were 100%...asiende tu kutusitiri aibu ya karne...au akienda hotuba yake iwe kwa kiswahili (ingaweje kiswahili nacho kwake bado ni changamoto (kama miugiza, kipeuo cha kwanza) ila kwa vile wasikilizaji walengwa watakuwa hawajui kiswahili basi haitakuwa na shida) na akishamaliza arudishwe hotelini haraka sana asipewe Muda wa kujichanganya na marais wenzake
Ulimsikia akiuliza watu kule Pemba ikifika usiku watalalaje(watafanyaje) kitandani wakati wao ni wanachama wa vyama tofauti?Haipaswi kufuata ushauri wa yeyote!. Wanabodi,
...Katiba yetu imeweka wazi kabisa kuwa rais atashauriwa na wasaidizi wake lakini halazimishwi kuupokea au kuukubali ushauri wowote !...
Hili la kuhutubia bila kufuatisha Hotuba alizoandikiwa, naliunga mkono kwa rais wetu kuwa huru kwa asilimia 100% chini ya 100% kuzungumza lolote toka ndani ya nafsi yake! .
Magufuli sio wa kwanza kuweka pembeni Hotuba za kuandikiwa na badala yake kutoa maneno yake kichwani, Hata Mwalimu Nyerere mara kibao alihutubia kutoka kichwani! . Sio Hotuba zote ni lazima ziandikwe. Hata hivyo baadaye mwaka huu, Rais Magufuli atasoma Hotuba ya kuandikiwa neno kwa neno bila hata kuongeza neno moja, siku atakapolihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kule New York nchini Marekani wakati wa kikao cha UN General Assembly, kwa sababu Hotuba hiyo itakuwa katika lugha ya Kiingereza! .
NB. Tanzania tukiamua rais wetu anaweza kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa lugha ya Kiswahili halafu wakalimani wakatafasiri kwa zile lugha 4 za UN! . Hata akihutubia kwa Kiswahili bado atasoma Hotuba rasmi na sio kutoa kichwani! .
Pasco