Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Wandugu vipi kuhusu kiwanda cha cement cha Dangote kuna tetesi nasikia kwamba kimefungwa kweli na mnada wa mali za mama yetu jeee
 
Rais mzuri ni yule anaeomba ushauri kwa washauri na wataalam
kabla hajaongea au kuamua kitu

Sio rais anaenda kwa media na kulaani taasisi kuhifadhi hela kwenye fixed deposit
halafu anatokea mchumi anae heshimika na mmoja wa washauri wa Rais kwenye uchumi na kusema
hakuna kosa lililorendeka na fixed deposit ni sahihi....

halafu mtu bado anabisha kama Rais anasikiliza washauri?
 
KwAnza kulinganisha Taifa la wakati wa mwl. Nyerere na Taifa la wKati huu in uchizi kabisaa,. Na kumbuka kuwa Binadamu ndo anayafuata Majira & nyakati na siyo Majira & nyakati kumfuata Binadamu. Hizo hatua unazosema ni uthubutu wala hazina uthubutu wowote Bali ni kuumiza wananchi waliokuweka hapo ulipo.
 
Sasa hilo jembe la mkono litaishaje bila kuimarisha uchumi kwanza?au hivyo viwanda vitawezeshwaje bila uchumi kua mzuri?piga ua kubalance uwendeshaji wake kunahitajika sana.
 
KwAnza kulinganisha Taifa la wakati wa mwl. Nyerere na Taifa la wKati huu in uchizi kabisaa,. Na kumbuka kuwa Binadamu ndo anayafuata Majira & nyakati na siyo Majira & nyakati kumfuata Binadamu. Hizo hatua unazosema ni uthubutu wala hazina uthubutu wowote Bali ni kuumiza wananchi waliokuweka hapo ulipo.

Na mimi kabla ya kuweka hoja kujadiliwa nilikuwa na mawazo kama hayo uliyoandika ila kuna swali la msingi ambalo jibu lake ndilo naimini ni tafsiri sahihi za mageuzi ya uchumi katika utawala wa Rais Magufuli.

SWALI

Tangu kuong'atuka madarakani kwa Baba wa Taifa kukafuatiwa na mageuzi ya uchumi kutoka "ujamaa na kujitegemea" kuelekea "uchumi huria" kwa nini wawekezaji (wa ndani na nje) wameacha kuwekeza kwenye sekta ya kilimo, uvuvi na viwanda ila sekta ya madini, habari na mawasiliano, starehe, sanaa nk!

Hata viwanda alivyohamasisha na kujenga Baba wa Taifa viliuzwa, wanunuzi wakageuza godown!

"SaiGonE", unalo jibu!
 
Urais ni taasisi. Rais ni mkuu wa taasisi hiyo. Kiutendaji,Rais hutenda au kuamua baada ya kushauriwa au kushauriana na Washauri wake. Wapo Washauri wa kila sekta imhusuyo Rais.

Wapo Washauri wa kisheria,kiuchumi,kisiasa na hata kiutamaduni. Taasisi ya Urais imekamilika kila idara. Tangu kuanza utumbuaji,imekuwa ikijitokeza hali ya Washauri wa Rais kuwa 'wachonganishi' badala ya 'washauri'.

Mara baada ya utumbuaji,hudhihirika kuwa sababu zinazoelezwa na Rais katika kutumbua huwa ni tofauti na zile halisi. Nataja mifano ya utumbuaji wa Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Maafisa kadhaa wa TAKUKURU na hata Bodi ya TRA.

Je,Rais hujazwa hasira badala ya kushauriwa katika kuelekea kutumbua? Je,Rais wetu mpendwa amezungukwa na 'Washauri' au 'Wachonganishi'? Tatizo hasa ni nini?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Wafuasi wanachojali ni kumfanya mkubwa ao afurahi, lazima wajue anapenda mambo gani wamfurahishe.
Tatizo ni kwamba, wale wanaotakiwa kuwa washauri, wamekosa ujasiri wa kuifanya hiyo kazi vizuri wameamua kufuata upepo wa mkuu.

Kwa ufupi, hana washauri.
 
Kwa tabia yake tu ya kutosoma hata hotuba alizoandikiwa nina uhakika hua hapokei ushauri, ushauri anaoupokea ni ule utakaokua unaakisi anayoyataka hapa tunakumbuka maneno ya H. Rungwe kua kazi anazifanya kitabia siyo kiutendaji.
 
Tuanzie hapa kwani washauri Wa raisi huchaguliwa na Nani
na vetting yao ipoje
 
inabidi washauri wake wawekwe hadharani tuwajue competence yao
Wakiwekwa wazi tukiwajua, tutawakosoa zaidi ya Mh rais
Inatosha kutambua Ikulu ni taasisi kubwa iliyosheheni wafanyakazi wenye fani na sifa bora katika kila kitengo.
 
Nafikiri yeye Rais ndio MSHAURI wa washauri wake...!!
Huwezi kuwa na WASHAURI kama Rais wa Nchi halafu ukatenda unayoyatenda then tuamini unasikiliza ushauri wa washauri wako.
 
Hivi Trump anasubiri nini kuapishwa hadi hiyo January 20? Wageni waalikwa au?
 
Back
Top Bottom