Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Rais anashauriwa na vichwa panzi kama Muhongo wanaomsabotage !
Ki-ukweli hana washauri bali wapo Wambea ,wanafiki na wachonganishi ndiyo wanamdanganya mara nyingi.Wafuasi wanachojali ni kumfanya mkubwa ao afurahi, lazima wajue anapenda mambo gani wamfurahishe.
Tatizo ni kwamba, wale wanaotakiwa kuwa washauri, wamekosa ujasiri wa kuifanya hiyo kazi vizuri wameamua kufuata upepo wa mkuu.
Kwa ufupi, hana washauri.
Mpango ananini mkuuKama katika washauri wake yupo Philip Mpango basi kazi anayo
Kila mmoja ana Kitengo chake: mfano January yy ni mzee wa fursa ni mpigaji ndiyo maana kajipa Kitengo cha Ulaji chenye Bajeti kubwa Kitengo cha uchakachuaji na kuvikoroga vyama kama wanavyofanya sasa kupitia lipumba. Bulembo na Nape kumchochea awachukie Wapinzani ili waonekane ni washauri wake wenye kujua ubaya wa kuwaacha Wapinzani wakiwa huru na wenyewe pia wanapiga pesa kupitia hizo njia Haramu.akna alhaj bulembo , yusuf makamba, nape, lusinde a,k.a kibajaj na msukuma ndo washaur wake
Alipo ndipo Mungu kasimama hakuletwa Dsm kwa Bahati mbaya.Mmoja wa washauri wake ni Jamaa Mmoka Kigogo wa Mkoa wetu
Urais ni taasisi. Rais ni mkuu wa taasisi hiyo. Kiutendaji,Rais hutenda au kuamua baada ya kushauriwa au kushauriana na Washauri wake. Wapo Washauri wa kila sekta imhusuyo Rais.
Wapo Washauri wa kisheria,kiuchumi,kisiasa na hata kiutamaduni. Taasisi ya Urais imekamilika kila idara. Tangu kuanza utumbuaji,imekuwa ikijitokeza hali ya Washauri wa Rais kuwa 'wachonganishi' badala ya 'washauri'...
Anatawala kwa Tabia zake lakini wapo Wajanja pia wanatambaa mle mle kwenye Tabia zake mpaka wanapiga pesa humo humo kama wanavyofanya sasa kupiga pesa nyingi kupitia mgongo wa Lipumba.Kwa tabia yake tu ya kutosoma hata hotuba alizoandikiwa nina uhakika hua hapokei ushauri, ushauri anaoupokea ni ule utakaokua unaakisi anayoyataka hapa tunakumbuka maneno ya H. Rungwe kua kazi anazifanya kitabia siyo kiutendaji.
Lakini akina February wanakula pesa zake kupitia hizo Tabia binafsi ambazo hajuia ni faida kwa Wajanja wanaojua kusoma watu.Anachokifanya ni tabia binafsi.
Wapo washauri Wajanja wanaotambaa na Kile anachokitaka wanapiga pesa kupitia humo humo mfano huu wa kutowapenda Wapinzani ndipo pesa nyingi inapigwa sana,wamegundua hawapendi Wapinzani hivyo kila kukicha wanamchochea atoe pesa za kuwadhoofisha kupitia Lipumba na Madalali wa siasa.Washauri wote waoga tupu, hana Washauri mkuu, na hatakuja kushauriwa hata siku moja..
Swali lako gumu sana
ndo maana watu wengi wanaishia kusema Kikwete
simply sababu Kikwete aliacha wapinzani wamkosoe
na bunge liwe na nguvu na free media
So kwa vigezo hivyo labda
kwa maoni yangu binafsi hakuna....kila mtu alikuwa na mazuri yake na mapungufu
na changamoto
Nyerere labda kwa kuwa alikuwa founder...muasisi wa Taifa...
alikuwa na changamoto tofauti....
mtatiro naye mtu??