Judister Gabriel Mlawa
New Member
- Sep 16, 2021
- 4
- 10
Na kweli. Tungeendelea kuwa chini ya udikteta wa yule mshamba aliyekuwa akiwachukia wazungu mpk kufikia kukataa chanjo zao, tusingipata bahati na fursa hii ya kuandaa filamu hii ya kimataifa ya TANZANIA, The Royal Tour.
Kwanza kiingereza alikuwa hajui. Angeigiza vipi filamu? Kwa kisukuma??
Kwahiyo ulitaka tuwafurahishe wasukuma,??Change your mind set.
Acha kukalili maisha. Tabia ya kumfurahisha mzungu.
Nonsense, tulitaka mcheza movie sie?. Hapo kwenye faida ya hiyo muvi huyu mama hatapata hata tone sasa chezea beberu.Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Royal Tour(s) ni siasa (program ya kisiasa)Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Jenga hoja, usishambulie kabila la mtu.Kwahiyo ulitaka tuwafurahishe wasukuma,??
Jenga hoja, usishambulie kabila la mtu.
Akili ya mpiga ramli hii.Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Sawa oga ulaleImani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Toka filamu umefanyika watalii wangapi wamekuja? ni ufujaji wa pesa za umma bila sababu za msingiUtalii ungeweza kukuzwa bila kutegemea filamu na tungefanya vyema tu.
Zipo nchi nyingi zinazofanya vizuri kwenye Utalii na hawajawahi kufanya hiyo filamu.
Ukiwa na upeo kama huu wa kwako utaelewa nini kinafanyika katika awamu hii. Lakini ukiwa na yale mawazo ya ubishi na ukaidi wa awamu iliyopita, huwezi kuwa na maono kama haya.Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Na yeye kuwa mwanamke ni sababu mojawapo ya hao walioandaa hiyo sinema kukubali kuja Tanzania. Alisema siku ile alipoongea na wafanyabiashara pale Ikulu.Royal Tour(s) ni siasa (program ya kisiasa)
Zinawatangaza (brand) zaidi viongozi wa serikali kuliko vivutio vya utailii
Na Royal Tour ya TZ iko kumtangaza zaidi Samia
Dunia ijue sasa Tanzania inaongozwa na raisi mwingine, tena mwanamke, ambaye yuko tofauti kabisa na mtangulizi wake (yaani JPM)
Hakuna diplomasia iliyorekebishwa hapo, ila wale waliokuwa wamezoea kupata kwa udanganyifu wakazuiwa sasa wamepewa mwanya kuendelea. 'Royal' ni sawa na kuita 'Hangaya' kibantu ni hadhi ya kimamlaka kwenye jamii fulani kwahiyo ilitakiwa isomeke Kitanzania "Safari ya utalii ya mtemi/chifu" badala ya 'The Royal Tour' inayoakisi mtazamo wa watu wa nje ya nchi hasa magharibi.Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia inamtafautisha sana na mtangulizi wake, John Pombe Magufuli ambapo nafasi ya Royal Tour imetumika kama njia ya kurekebisha diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine, na ni kweli, hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi na hisi hivyo.
Hahaaaaa.......😁😃Na kweli. Tungeendelea kuwa chini ya udikteta wa yule mshamba aliyekuwa akiwachukia wazungu mpk kufikia kukataa chanjo zao, tusingipata bahati na fursa hii ya kuandaa filamu hii ya kimataifa ya TANZANIA, The Royal Tour.