Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali.
Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari.
Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana.
Wydad hawana mpira wa maajabu.
Utabiri: Wydad 1-2 Simba.