Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #41
AaaaaaaminnnnnInshaallah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaaaaaaminnnnnInshaallah...
AaaaaaamemnnnnnHalleluyah
Pamoja mkuuUtayaona ijumaa
Ulichokaiandika kikifanyiwa kazi Simba nusu fainali ileeeeeeeWajitahidi kucheza kwa kushambulia sana na kukaba kwa makini. Kama vile Yanga walivyowashambulia Club Africain mwanzo mwisho hatimaye wakatoboa., Chama aongeze speed na kutoa pasi haraka bila kuchelewa.
Anacheka kwakua anajua lazima amlaze mtu ndani ya box ya wydad wapewe penalty dakk ya 16 tuuAnacheka Kwa kuwa anajua Simba atatoboa
Hapo ndio uwezo wake ulipoishia, sijui kwa nini huwa mnaamini Passo inaweza kushindana speed na Range Rover?Akiacha ubishololo wake na slow motions zake,na akatoa pasi Kwa wakati na muda sahihi Mnyama lazima apasue
AaaahaaaaaaAnacheka kwakua anajua lazima amlaze mtu ndani ya box ya wydad wapewe penalty dakk ya 16 tuu
AaaaahaaaHapo ndio uwezo wake ulipoishia, sijui kwa nini huwa mnaamini Passo inaweza kushindana speed na Range Rover?
Hapo unakuwa umejipeleka kibura mwenyewe Kama uliangalia mechi ya Cr belouizdad na mamelod sundowns Hapa utakubaliana na Cr belouizdad alifunguka kutaka mechi akijua Kwa yupo nyumbani basi mamelod sundowns atalinda nae akafunguka ko wote wakawa wanaitaka mechi kilichotokea ni 4 Kwa 1Simba wasicheze defence mapema, wacheze kama vile walifungwa mechi ya 1, wataongeza goli na kushinda.
Changamoto IPO Kwa onyango na dogo Ally anatembea Sana mipira onyango akiludishiwa mipira atoe haraka asisubili kupiga chenga na fauro maeneo hatarishi apunguzeMnyama hana Cha kupoteza,acheze kama kiyama,asipaniki Onyango awe makini basi
Mpaka sasa sijaona maajabu ya Wydad
Nadhani wawakilishi wa Mnyama wanapita humu, tena GENTAMYCINE anapita humu hivyo siyo vibaya akawafikishiaChangamoto IPO Kwa onyango na dogo Ally anatembea Sana mipira onyango akiludishiwa mipira atoe haraka asisubili kupiga chenga na fauro maeneo hatarishi apunguze
Robertinho anatakiwa akaangalie zile highlights za fc portal akichukua ubingwa wa UEFA champions league chini ya Jose Mourinho alitumia mbinu Gani???Nadhani wawakilishi wa Mnyama wanapita humu, tena GENTAMYCINE anapita humu hivyo siyo vibaya akawafikishia
Much appreciatedRobertinho anatakiwa akaangalie zile highlights za fc portal akichukua ubingwa wa UEFA champions league chini ya Jose Mourinho alitumia mbinu Gani???
Au intermilan anamtoa Barcelona chini ya huyo huyo Mourinho yaani achukue mbinu za kuitoa timu kubwa kuliko timu Yako
Sawa,kikubwa ushindiSimba hii ni ya kuungaunga
Simba wakicheza kama walivyofanya kwa Orlando Pirates kwenye mechi ya marudiano wanaweza kuwa na asilimia kubwa ya kupita kwa hatua hii.Sawa,kikubwa ushindi
Wydad wameflop,wanachezea jina tuSimba wakicheza kama walivyofanya kwa Orlando Pirates kwenye mechi ya marudiano wanaweza kuwa na asilimia kubwa ya kupita kwa hatua hii.
Hii mechi inahitaji zaidi nidhamu ya kujilinda plus nidhamu ya kushambulia. Kule Afrika ya Kusini, pressing ilianzia mbele chini ya Mugalu.
Hata Vita kwenye mechi na hawa jamaa alicheza vizuri sana hapohapo kwao.Mpaka wanakuja kujifunga jamaa walikuwa hawana upenyo wowote!!!!!!!!
Vita walicheza compact football na iliwasaidia sana licha ya kupoteza kwenye huu mchezo.Watu walijua Vita anakufa nyingi lakini haikuwa hivyo.
Jamaa hawatishi kama msimu uliopita na kiwango chao kimeshuka kidogo kama unawafuatilia kiundani.
Nilichokiona kwa wydad wanacheza kwa hasira na kihuni hasa mkiwazidi mashambulizi.. hii ni advantage kwa simba sc kama akiitumia vizuri ... ni rahisi kumpiga mtu akiwa kwenye hasira kuliko mtu mwenye utulivu wa akili..Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0,basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali
Kikubwa wakabe kwa umakini,faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari
Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana
Wydad hawana mpira wa maajabu
Utabiri:
Wydad 1-2 Simba