Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #81
AahahaaaaaSimba ataliwaa sita kavu wote walio ended pale walikuwa wanataka kushinda na walienda kwa mipngo haswa ila ajabu walikandwa vilivyo
Sawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahahaaaaaSimba ataliwaa sita kavu wote walio ended pale walikuwa wanataka kushinda na walienda kwa mipngo haswa ila ajabu walikandwa vilivyo
Ushawahi kujiuliza, kwanini wewe sio Mimi na mimi sio wewe 🤌Simba ataliwaa sita kavu wote walio ended pale walikuwa wanataka kushinda na walienda kwa mipngo haswa ila ajabu walikandwa vilivyo
Inategemea kama zote zinatembea speed 100 na ni umbali usio mkubwa basi zitafika sawa hiyo safari..Hapo ndio uwezo wake ulipoishia, sijui kwa nini huwa mnaamini Passo inaweza kushindana speed na Range Rover?
Dah.. sasa semaji letu limeshajikatia tamaa kuna kitu hapo tena...! yaani kaama kabisa kwenye mpira anawaza masumbwi.🤣🤣🤣
Umeandika ujumbe kuntu sanaIle surprise attack aliyofanyiwa Yanga, kama Simba wakifanikiwa kuirudia kule, waarabu wanaweza kutoka mchezoni.
Tofauti :Yanga huanza mchezo kwa taratibu hivyo ni rahisi kuwafanyia surprise attack wakati waarabu wakiwa nyumbani huanza na kasi ya juu mno na iliyopitiliza.
Simba wawasubiri na kuizoea kasi huku wakicheza kwa nidhamu na tahadhari ya juu.Mechi ya Dar, Simba waliwaheshimu mno Wydad mpaka ikapelekea hofu kwao, wakati nafasi za surprise attack zilikuwepo nyingi na za kutosha kwani jamaa walicheza soka la taratibu mno
Nb 1: Wote wanaocheza ni binaadamu na siyo malaika
Nb 2: Hakuna timu isiyofungika duniani.
Nb 3: Mpira wa kisasa ni mbinu zaidi na maarifa.
Nb 4: Mechi ya Raja ile ya nyumbani kwao ikitumika kama mkakati, lolote linaweza kutokea.
Nb 5: Wydad wanatumia uzoefu zaidi msimu huu kwani kiwango chao kimeshuka kidogo.
Ni mtazamo tu!!!!!!!
Nasikia tiketi za kuingia uwanjani zimeshaisha huko! Sasa fikiria kwa zile purukushani za wale mashabiki wao vichaa!!Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0,basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali
Kikubwa wakabe kwa umakini,faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari
Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana
Wydad hawana mpira wa maajabu
Utabiri:
Wydad 1-2 Simba
Huyo huyo aliyekubandua mawili ya harakaSimba hii!
Ngoja nikae kimya.
Cheka sanaa ila na pia andaa machozi ya maumivu
Hatuchezi na tiketi tunacheza na Watu 11Nasikia tiketi za kuingia uwanjani zimeshaisha huko! Sasa fikiria kwa zile purukushani za wale mashabiki wao vichaa!!
Yaani ndugu zangu Makolo wakiruhusu goli moja tu, basi watakuwa pia wameruhusu mafuriko.
AahaaaaaNasikia tiketi za kuingia uwanjani zimeshaisha huko! Sasa fikiria kwa zile purukushani za wale mashabiki wao vichaa!!
Yaani ndugu zangu Makolo wakiruhusu goli moja tu, basi watakuwa pia wameruhusu mafuriko.
Ijumaa siyo mbaliIshu sio kukaza, ishu ni UWEZO
amka wewe utajinyea bure ndoto gani hizoIwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0,basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali
Kikubwa wakabe kwa umakini,faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari
Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana
Wydad hawana mpira wa maajabu
Utabiri:
Wydad 1-2 Simba
Kumbe huwa unajinyea ukilalaamka wewe utajinyea bure ndoto gani hizo
Naunaga mkono hojaSimba akienda serious anatoboa. 15 min za kwanza ni za moto. Anatakiwa awena accuracy 💯. Akabe haswaa. Akitoboa hapo, mpaka dakk ya 40 majamaa yatapanik.
Wakirudi tena 15 zingine apush kama kawa. Mpaka dakk 75 frustration itakua kubwa na simba kujiamini. Hapo lolote laweza kutokea kama penalty ya mchongo, onyango anatakiwa awe makini na awepo mtu wa kumsaidia.
Unnecessary corner and foul zisiwepo. Mpaka dakk ya 88 basi shuguli itakua imrishia hapo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Goli halina time mkuu, dk yoyote unawekwa tu.Simba akienda serious anatoboa. 15 min za kwanza ni za moto. Anatakiwa awena accuracy [emoji817]. Akabe haswaa. Akitoboa hapo, mpaka dakk ya 40 majamaa yatapanik.
Wakirudi tena 15 zingine apush kama kawa. Mpaka dakk 75 frustration itakua kubwa na simba kujiamini. Hapo lolote laweza kutokea kama penalty ya mchongo, onyango anatakiwa awe makini na awepo mtu wa kumsaidia.
Unnecessary corner and foul zisiwepo. Mpaka dakk ya 88 basi shuguli itakua imrishia hapo.
Ni kweli ila mpaka dakk hizo majamaa yatakua na pressure. Na hata kama ikitokea yamefunga bado simba atakua na nafasi ya pili kujitetea maana watarnda extra time.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Goli halina time mkuu, dk yoyote unawekwa tu.