Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

Inshaallah!! Na iwe hivyo.
[emoji881] nguvu 1
Hallah [emoji3590][emoji833]
 
Au vipi?
FueTX78X0AAPBJp.jpg
 
Nilichokiona kwa wydad wanacheza kwa hasira na kihuni hasa mkiwazidi mashambulizi.. hii ni advantage kwa simba sc kama akiitumia vizuri ... ni rahisi kumpiga mtu akiwa kwenye hasira kuliko mtu mwenye utulivu wa akili..
Kikubwa ni kuwafunga mapema au kukaza mpaka halftime Ili wapaniki
 
Hili linawezekana kabisa.

Mpira wa miguu umebadilika sana siku hizi.

Yeyote anaweza akafanya chochote regardless performance background
Alichokifanya Marumo Simba anakiweza
 
Alichokifanya Marumo Simba anakiweza
Kabisa mkuu.... football sahivi ukienda na mentality ya sijui waydad hajawahi kupoteza game home ground sijui nn,mwisho wa siku huyo anayepewa nafasi kubwa anazingua.

Na hii ni kutokana na pressure kubwa atakayokuwa nayo kuthibitisha huo ugiant, lakini hii ni fursa kwa ile timu inayochukuliwa kama underdog kupata matokeo positive
 
Ile kasumba ya Waarabu hawafungiki kwao Simba anayo nafasi ya kuifuta
 
Kabisa mkuu.... football sahivi ukienda na mentality ya sijui waydad hajawahi kupoteza game home ground sijui nn,mwisho wa siku huyo anayepewa nafasi kubwa anazingua.

Na hii ni kutokana na pressure kubwa atakayokuwa nayo kuthibitisha huo ugiant, lakini hii ni fursa kwa ile timu inayochukuliwa kama underdog kupata matokeo positive
Cha msingi Simba waende na mentality ya kwamba hawajafika hapo kwa bahati mbaya kama ambavyo watu wengi wanadai.

Wachezaji wapige mbungi inayoeleweka na mwisho wa siku matokeo yatapatikana.

Ili ufungwe kwenye football ni lazima ufanye makosa.... makosa yanaweza yakatokea upande wowote ule and atakayekuwa vizuri ku~convert makosa ya mwenzie kuwa magoli ndio ataondoka kidedea
 
Naunga mkono hoja
 
Mpira una matokeo 5 kufunga,kufungwa,sare,sku huska, na bahati.kwahiyo chochote kinawezekana nalikija hili la timu kucheza nje kuweni wamoja uadui wenye uwe kwe darbi tu, hapo mtatoboa maoni yangu.
Inshaalah
 
Mkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morocco
 
Mkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morou

Mkuu hapa ulipuyanga sana, ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kutoa droo huko Morocco
Duuh,
Una uhakika kiasi hicho mkuu 😁😁

Hii game itastaajabisha dunia nzima, tuombe uzima tu
 
Simba ataliwaa sita kavu wote walio ended pale walikuwa wanataka kushinda na walienda kwa mipngo haswa ila ajabu walikandwa vilivyo
 
Back
Top Bottom