Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0,basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali

Kikubwa wakabe kwa umakini,faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari

Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana

Wydad hawana mpira wa maajabu

Utabiri:

Wydad 1-2 Simba
Naunga mkono hoja iwapo wakikaza.
 
Mnyama hana Cha kupoteza,acheze kama kiyama,asipaniki Onyango awe makini basi

Mpaka sasa sijaona maajabu ya Wydad
Wajitahidi kucheza kwa kushambulia sana na kukaba kwa makini. Kama vile Yanga walivyowashambulia Club Africain mwanzo mwisho hatimaye wakatoboa., Chama aongeze speed na kutoa pasi haraka bila kuchelewa.
 
Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0,basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali

Kikubwa wakabe kwa umakini,faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari

Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule Morocco ingekuwa poa sana

Wydad hawana mpira wa maajabu

Utabiri:

Wydad 1-2 Simba
Simba mnyama mkali
 
Back
Top Bottom