Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

Imani ni kuwa na hakika na Mambo yatarajiwayo, ni bayana ya Mambo yasiyoonekana.
 
Sawa mtani kama haya yanatoka moyoni
 
Sawa,

Ila naamini chochote kinaweza toke
Simba wakiwa makini na compacts kujilinda wacheze kama juzi walivyokaba kuwazunguka Viungo wa WAC kwa style inayoitwa the cage hadi kupelekea injini yao Jabran kugusa mipira mara 52 jabran huku akipiga back pasa 17 na side way pass 20 na foward pass 15 simba wanatoboa
 
Amen mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…