Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Upuuuzii wako peleka chooniiWadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini muda utaongea tu hivyo muwe na subira
Kizazi cha miujiza bado hakijapotea yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizobaki
Kila la kheri Simba muwe na furaha na amani
Unajua yanga anatakiwa ashinde mechi ngapi ili atangaze ubingwa?Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Wewe ni Shabiki wa wapi Jangwani au Msimbazi?Muda utaongea!
Yanga 7-2 SimbaInshaAllah!Na iwe hivyo.
NB;Hivi kwa nini SSC haijawahi kutundika mabango kwa kuwachabanga vyura 5-0,6-0,4-1 nk?
Zikijumlishwa za SSC zitakuwa ngapi?Umeacha kuvuta titi la mama mwaka gani muheshimiwa sana?Yanga 7-2 Simba
SIO ndogo
Asipoteze Tatu apoteze mbili tu na kusuluhu 2.Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Kama TFF wakinyamazia makosa ya usajili na uchezeshaji wachezaji batili wa vyura itakuwa sahihi.yanga kabakisha mechi moja atangaze ubingwa ujue.
Usimtegemee mwanaume mwenzako ndo akupe mafanikio mbona nyie makolo mlishidwa kushinda mbele ya yanga na sasa mnawategemea akina Dodoma Jiji ndo washinde.Asipoteze Tatu apoteze mbili tu na kusuluhu 2.
Kwisha habari
Kimahesabu ni sahihi, ila kiuhalisia ni ngumu, simba ajipange safari inayofataWadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
ushindi wa mezani haupo labda muamuwe kama walivyotufanyia kimataifa.Kama TFF wakinyamazia makosa ya usajili na uchezeshaji wachezaji batili wa vyura itakuwa sahihi.
Yanga tukose point 4 kwa michezo iliyobaki!Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
hivi imesalia michezo mingapi kwa kila timu kuhitimisha ligi 🐒Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Hawakuwahi kuwa wabunifuInshaAllah!Na iwe hivyo.