Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Yanga bingwa!!!
 
Ndivyo anawadanganyeni Guardiola Mnene🤪
 
Ngoja muda uongee.
Yeah, Simba mnaokotwaokotwa sana! Mlidanganywa eti ni Pacomé hana vibali mkakubali sasa juzi Pacomé kacheza mmeufyata! Yaani mchezaji hana vibali aje aruhusiwe kucheza champions league? Simba hamna akili!
 
Mnatukana wazee wenu?Tutawapaka mawese.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Baada ya simba kufungwa na yanga aliaga rasmi ubingwa
 
Jumatatu Yanga anakuwa Bingwa. Njoo hapa saa 12 jioni utueleze namna simbo atakuwa Bingwa.
 
Back
Top Bottom