Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Nakumbuka Kombe La Dunia Sina Hakika Ila Ilikuwa Afrika Kusini
Kulikuwa Na Pweza Paul, Mtaalam Wa Kutabiri Na Alikuwa Sahihi
Jipangeni msimu ujao hizi mambo zitawaumiza. Umefungwa na mtani nje ndani bado ukapoteza mechi 3. Sare za kuzidi unakuja kujipigia hesabu za vidole sasa hivi ukitegemea maajabu ya Paula sijui.
 
Attachments

  • FB_IMG_17136160440648760.jpg
    FB_IMG_17136160440648760.jpg
    64.8 KB · Views: 2
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Haiwezekani hata kidogo 😂😁😁
 
Tulikusihi John please usivute bangi ukiwa hujala tena mchana jua kali tena chooni kusikokua na bati!
Ona sasa madhara!?
 
Hawakuwahi kuwa wabunifu
Tatizo la wanazi wa SIMBA ni kwamba walikosa furaha kwa kipindi kirefu sana timu ilikuwa na mwenendo dhaifu kwahiyo hata tabia zao za kuongea sana zilipotea na wakabaki na msongo wa mawazo, sasa baada ya kumkanda yule asiye na malengo jana wameanza kuonyesha tabia zao halisi za kujiona wao ndio kila kitu ila wanatakiwa kujua kuwa kwa msimu huu wawe Wapole wamechelewa, watengeneze timu yao kwa msimu ujao,waache kupotezea msongo kwa azamu maana jana si mashabiki, wachezaji wala viongozi baada ya ule mchezo ni kama walikuwa wanacheza fainali sasa wamechukua ubingwa. Wanaongea nonsense utadhani si watu wa mpira.
 
Statistics za kupoteza msimu huu yanga zikoje kwqnza.

Ndo tuweze kukadiria probability
Mtibwa 1 - 0 Yanga
Dodoma Jiji 1-1 Yanga
Yanga 0 - 0 Tabora
Yanga 1 - 2 Prisons

Total Points 70.

Simba Win All games Total Points 71.

Nani bingwa hapo?
 
Mleta uzi jikite kwenye kupambania nafasi ya pili tafadhali, Msipokuwa makini club bingwa hamuendi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Njozi hizo
 
Mtibwa 1 - 0 Yanga
Dodoma Jiji 1-1 Yanga
Yanga 0 - 0 Tabora
Yanga 1 - 2 Prisons

Total Points 70.

Simba Win All games Total Points 71.

Nani bingwa hapo?
Wewe ulishindwa nini mara zote mbili mpaka uje umuangushie mzigo mtibwa
Kumbuka hiyo nafasi ya pili bado hujaipata
Subiri utakavyocheza shirikisho mwakani ndio akili ziwakae sawa maana mnajichetua
 
We
Ni mchezo mmoja tu dhidi ya prison ndo tunaweza kupata droo mingine yote ni kuwafunga tu.
Tena prison ni mchezo wa mwisho hatuna haja ya kwenda uwanjani wapewe point zote 3.
Ya nini kwenda kutesa miguu ya PACONE, AZIZ,YAO NA mikono ya DIARA
jamaa umenichekesha sana eti yanini kutesa wachezaji...
Wapewe tu Point3 zitawasaidia 🤣🤣 si tupumzike
 
Mwamba umekula kitu cha Arusha 😂😂😂, hakijawahi kumwacha mtu salama mwenye lishe mbovu
 
Back
Top Bottom